kufana kundi la damu na mke mtarajiwa

Gmpa

Senior Member
Aug 1, 2016
137
45
Samahani wana jamvi, naombeni ushauri mimi nikijana natarajia kuoa hivi karibuni.

Jana tulienda kupima afya ikawa vema, pili tuka cheki makundi ya damu yakawa yanalingana kuwa mimi nina O+ na yeye ni O+.

Je, kwa hapo kuna tatizo au madhara yoyote katika masuala ya uzazi????
 
Hakuna tatizo kbsa sababu hata mkeo siku akiishiwa damu wewe pekee ndio utakua wa kwanza kum donate damu, maana mna similar blood group, shida ni kwamba kama ni emergency unahitajka haraka kumdonate damu mkeo na wewe upo mbali nae hapo ndio msara sasa! Kwa maana kwamba inabidi atafutwe mtu mwenye group hilo hilo O+ ndio apate msaada, sababu mwenye group O hawezi kudonatiwa blood na watu wenye groups tofauti kama "A, B na AB" unless group O pekee.

Lakini usijali hizo ni changamoto tu ambazo znaweza kujitokeza katika maisha yenu ya ndoa....

God will bless your expected marriage.
 
Barikiwa sana
 
Group o ana ana donete group zote tatizo group lake ni positive au negative.mfano mwanaume mwenye group o positive aki owa mwanamke mwenye group o positive kuna uwezekano mkubwa wa kukosa watoto.maana yake Hasi+chanya =circuit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hapana mambo hayako hivyo..kweye damu hatuna cha chanya na chanya hukwepana...hakuna tatizo lolote kumuoa mtu mnaefanana nae au kutofautiana nae kundi la damu...tatizo linaweza kutokea endapo mwanamume mwenye protein iitwayo Rhesus factor akimuoa mwanamke asiye nayo (kwa kuelewa zaidi hizo + na - zinaonyesha kuwepo ama kutokuwepo kwa protein hyo)...hata hvyo kitabibu ni swala linalorekebishika tu wala haimzuii mtu kutooa
 
Mambo vipi naomba na mm nitambue kama una elimu kidogo hapa kwa mfano mm noma AB+ na mchumba wangu ana O hapa vp kuna weka kukatwa na tatzo la kupata watoto??
 
Back
Top Bottom