Ewe mwanadada wa humu JF soma hii na uelewe

Ewe mwanadada wa humu JF soma hii na uelewe

Wasipo elewa hapa basi tena, hawata elewa tena.
 
Hongera kwa uandishi mzuri, maneno ya busara[emoji122]
 
Nyie wenyewe hamuangalii tabia, mnaangalia wenye matako makubwa!
 
Wadada wa sasa ukiwaambia Ukweli hawataki, Utasikia wakisema wewe si hadhi Yangu!!!!
Sasa wanaume nao kwa kutopenda kuwakosa, wanaingia chuo cha Uongo Wa Kusadikika.
Ushauri wangu:
Sema ukweli ili upate yule aliye type yako atayeridhika na maisha yako.
Dadaz wapunguze Vikwazo tu.
 
Mada nzurii saanaa tunashukuru kwa maneno yako ya busaraa[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mada nzurii saanaa tunashukuru kwa maneno yako ya busaraa[emoji122][emoji122][emoji122]


Na Ikawe fundisho kwa Wote waliomo humu na mkayatendee Yaliyo mema kwa kuwa Wanaume wanachopenda kwa asilimia kubwa siyo Ukubwa wa Makalio au Kingereza au .. Ila vilivyo vingi hawavisemi..
 
2-10 ime penya sawa ila 1 hiyo hapana maana kuna wanaume hawashindwi kukutambulisha kwa ukoo mzima na bado asiwe na mwelekeo wowote na wewe.
 
2-10 ime penya sawa ila 1 hiyo hapana maana kuna wanaume hawashindwi kukutambulisha kwa ukoo mzima na bado asiwe na mwelekeo wowote na wewe.
NGOJA NISEME KISIRISIRI HAPA

Wakikuambia ,Au Ukisikia wanasema, Mahusiano au NDOA NI MBAYA ...Waambie na Uuambie Moyo wako kuwa, BIBLIA HAISEMI HIVYO

Ukisikia wanatoa kauli za kukatisha tamaa dhidi ya ndoa au mahusiano .KIMOYOMOYO SEMA. .."MAHUSIANO YANGU HAYAKUWA HIVYO "

Hakika ukianza kudharau mahusiano yako mwenyewe basi ndiyo mwanzo wa kila kitu. Lakini ukisema hapana na kamwe no Way itakuwa hivyo hivyo.

Pia tambuwenj Pia Maneno yatokayo vinywani Mwetu mara kwa mara Baadae Huumba

NDOA NI NZURI BHANA NDIYO SABABU MUNGU KAIWEKA. ..MSITISHIWE, KAMA YA MWINGINE INA SHIDA TUMUOMBEE YEYE, HAINA MAANA NA ZETU ZIPO HIVYO AU ZITAKUWA HIVYO.

"Wanayo amani nyingi waipendayo sharia ya Bwana ,wala hawana la kuwakwaza "

TUKAE KWENYE NJIA ZA MUNGU ,HILO TU.
 
Ujumbe maridhawa kwa dada zetu wa karne hii
 
Mkuu Taasisi zote Duniani zinazotoa misaada Kwenye Nchi zenye Majanga ni Kwa sababu ya Jinsi ya Ke, hivyo tunayaona Mtaani ni viashiria vikubwa kuwa Jinsi ya Ke inahitaji kusaidiwa kushauriwa kuangaliwa Muda wote bila kuchoka. Unaweza ukawa huoni kama linakuhusu wewe kama Wewe ila linaweza kumgusa zaidi ya Kumi katika Kaya zinazokuzunguka. Hivyo tusichoke kupaza sauti hata kama tukisemacho hatuonii kikipokelewa ipasavyo.

Mimi ni mmoja wa watu ambao najiuliza mpaka kesho kutwa kuwa "Kwa nini Mwanamke anajiuza Kingono""'...
Iweje mwanamke ndo asababishe matatizo mengi ama yote wakati duniani kuna wanawake na wanaume, Kuna bias ktk judgment yako
Anaejiuza unamuona tatizo anaenunua je?.,wanunuaji wangekosekana hao kina dAda wangeuza?.
 
Hivii nikifungua bizness yangu afu nikaandika mabinti tuu inawezekana ntapata wateja wengi wa kiume kuliko mabinti; ????? Nawaza tu jamani
 
Unabusara sana mtoa mada umenigusa kwakweli vipi umeshaoa???
 
Ulichokiandika nakiunga 100% kwani ndg zetu hawa cjawai kuwaelewa kwn vitu vilivyonikuta huwa nikiwaangalia mtaani ofcn na sehemu nyingi ninazoenda nainama na kusikitika ila hawajuw maisha sio kazi, gari, wala pesa lakn wengi wao wanatanguliza vitu ndio maana wengi wao wanaumizwa cn
 
Iweje mwanamke ndo asababishe matatizo mengi ama yote wakati duniani kuna wanawake na wanaume, Kuna bias ktk judgment yako
Anaejiuza unamuona tatizo anaenunua je?.,wanunuaji wangekosekana hao kina dAda wangeuza?.

Siku Zote bidhaa isipokuwepo sokoni hakuna atakaye iulizia .. Sasa kwa Kuwa Bidhaa ipo mwenye bidhaa atatafuta mbinu yakuhakikisha inapata wateja .. Kwa Hiyo Kama Mwanamke atasema Kujiuza hakupo basi Hakuna Mnunuzi wa Kiume. Vivyo Hivyo Siamini kuwa Ukitongozwa lazima Uvue nguo, Ila Ukiendekeza kutongozwa basi tegemea kuvua nguo...
 
Back
Top Bottom