Recent content by Jotojiwe

  1. Jotojiwe

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nenda posta iliyopo eneo ulilopo au ulipofungulia sanduku lako na ukiomba post code za eneo hilo utapata, post code ni muhimu sana ndio zitaelekeza mzigo ufikie wapi
  2. Jotojiwe

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Post code ndio destination ya mzigo wako nenda posta ulizia hiyo utapewa
  3. Jotojiwe

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Hivi kisima bado upo! Hapa utaua mtu aiseee hufai kabisa
  4. Jotojiwe

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Samahani, naomba kujua hizi ni bei kweli? Na kuna changamoto gani unaweza pata ukinunua gari kupitia hapa?
  5. Jotojiwe

    Ruzuku kwa vyama vya siasa iondolewe Tanzania!

    Dah! Think again aisee
  6. Jotojiwe

    ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Dah! Pole sana matumaini ya hiyo kirusi kuisha ni makubwa sana kwa sasa na wakati ujao, pia baadhi ya watumiaji wazuri wa ARV wameripotiwa kufubaza kirusi kwa asilimia 99.9
  7. Jotojiwe

    Jilinde usichomwe na mfupa wa samaki na nyoka

    Hivi wachina wanakulaje hawa wadudu?
  8. Jotojiwe

    Tanki Bovu maeneo ya Puma na Rainbow sio salama tena kutembea usiku

    Hapo ni raia tu wanatakiwa wajitambue, hao watu huwa wanatoa 10% kwa wanaolinda usalama, dawa yao ni kuwachoma moto tu lasivyo wakazi watabia vilema na wengine kufa na kubaki na magonjwa
  9. Jotojiwe

    Jinsi nilivyotamani kumuua jirani yangu aliyenipora sehemu ya kiwanja changu

    Kuna wakati unaweza kufikia hapo ulipo lkn nafikiri imetosha kumwachia uhai na hali yake hiyo ni maumivu kulikoni kifo, hapo alipo anatamani sana afe ila hana namna
  10. Jotojiwe

    Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Jinsi ya kumtawala mtu ambae alikua na uhuru, usimwondolee uhuru wake wote punguza kwa nyakati uhuru wa kitu kimoja kimoja.. Ili asipate tabu kuzoea mazingira ya utumwa. Someni historia ya Hitler alianza vipi kutawala taratibu sio tofauti sana
  11. Jotojiwe

    Series (Special thread)

    Hii kitu ni imebeba feelings ajabu
  12. Jotojiwe

    Series (Special thread)

    Kwenye Qeen of south Wero kafa sijui teresita atamfanyaje kamila!!
  13. Jotojiwe

    Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Ukiona hivyo ujue shetani kashinda, amna la Mungu hapo!!!
  14. Jotojiwe

    Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

    Hivi waarabu si ndio waliobuni biashara ya utumwa duniani?
  15. Jotojiwe

    Lissu kuwasha moto Nairobi, Joto lapanda kwa wahusika

    Hatari sana, hiyo albadir imfanye baba j aache kubana iwe ruksa tu
Back
Top Bottom