Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

Nafasi za Kazi Nchini Saudi Arabia

Competitive Manpower International Limited ni wakala wa ajira za nje ya nchi,inawatangazia nafasi za ajira nchini Saudi Arabia,nafasi zilizopo ni:-
1.Salesman 50 (Drivers)
2.Salesman Assistant 50 ( Drivers)
3.Cook 5
4.Labourers/Vibarua 50
Interested Candidates wanaweza kutembelea Ofisi zetu zilizopo Magomeni-Mwembechai,Dar Es Salaam,nyuma ya mwembechai plaza,karibu na Hotel ya Itumbi
Pia wanaweza kupiga simu kwa nambari 0654 360 571,0752 564 154,0785 542 412
NB: Waombaji wote wawe na hati ya kusafiria (Passport),Umri na vigezo vingine ni kama inavyoonyesha kwenye attachment.
Karibuni.
View attachment 616632

Mtumwa Ni Mtumwa tuu,Tanzania imejaliwa aridhi nzuri, mvua si haba,majanga ya asili hakuna,bahari, madini nk,
Bado watu wanataka kwenda kutumiki shwa uarabuni
 
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
mwizi mkubwa ww unawezaje kulipia nafas ya ajira? mwizi mkubwa ww eti kampuni inakulipia kila kitu how comes?
 
Yaani Registation fee una lipia,!? na uhakika wa kazi hakuna acheni wizi wa mchana kweupe!
 
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates

Kumbe hiyo 50,000 ndio mnayoitafuta wezi wakubwa nyie

Fanyeni kazi halali au pelekeni ndugu zenu shwaini
 
Nafas kidogo wapiga interview kibaooo eti elf 50 wizi mtupu mi mwenyewe washawahi kunipiga uarabuni pelekeni jamaa zenu kama kuzur au anza kwenda ww kama kuna maslah
 
Kila siku uarabuni why sio america africa,europe uko asia kunani
 
maisha yenyew ya kwapi haya tutaenda wengi,atakayebak mwache abaki
 
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
Mkuu umeeleweka sana what if mtu hana hio elfu 50 ya registration ana Nauli tu ya kumfikisha ofisini kwenu na airport na kila mnacho hitaji anacho kama travelling document e.t.c mna muweka kundi gani huyu? maana anataka kazi ila hana kitu.
Pili, kuna wadau kitaa wanapiga job huko kwa msaud tangu mwaka jana, hawakutoa hata dala na passport walilipiwa, na gharama nyingine so ninyi mpo kwa protocals zipi maana tunaelewa waajiri wana fund either travel documents na nauli ila mambo ya registration hayo mnalipwa na anaehitaji wafanyakazi.
seems like mnapiga sana asee!! Unakula 50 ya mdau na unakula kwa tajiri bado uje ule tena ya uagent like kila mwezi unachukua chako..
 
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
Hiyo 50,000 registration fee ndo Uhuni wanu unapoonekana!
I worked in Oman before, najua mpaka pesa ambayo Agent analipwa kwa kila kichwa kimoja akikipeleka, and I did also before....

Pesa ambayo Agent analipwa kwa mtu mmoja ni pesa ndefu, including Flight ticket.....hiyo 50,000 ni ya kazi gani kama si Utapeli au Tamaa!??

Mimi nilikua napewa mpaka pesa ya kulipia Passport ya mtu mwenye sifa lakini hana uwezo....

Kama sio Mataperi ni tamaa zenu tu, Ondoeni hiyo Registration fee ya 50,000 muwasaidie watu coz wengi ni Masikini...
 
U mesaidia wengi wasioelewa recruitment process ya kule ilivyo! miaka kadhaa nilishawahi kuomba nafasi kwa proactive recruitment solution na ilikua ni ishu ya kiwanda cha maziwa na bidhaa za ng'ombe kinaitwa Al marai. nawasifu wale jamaa wa recruitment wali waita waajili na kukawa na orientation yakazi, malipo, accomodation n.k kwa uwazi kabisa ili kujenga trust tatizo letu wabongo ujanja ujanja tu na kuminya wenzetu.

mdau toeni hio cost ili muifidie kwenye Passport tunajua hata budget ya passport ipo.
 
Sure Mkuu!
Mwarabu ana pesa, hajari gharama akihitaji watu....

In Gulf Countries Kazi si deal ila deal ni mfanyakazi!
 
mwizi mkubwa ww unawezaje kulipia nafas ya ajira? mwizi mkubwa ww eti kampuni inakulipia kila kitu how comes?
HAHAHAHAAHAHAHahahahahahahahahahhahahah! ngoja nikimbie huu uzi nisije pata BAN bure
 
50 thousand ni registration fee,sio kukupiga pesa,na kwa nafasi za Saudi Arabia,baada ya kufaulu interview kampuni inakulipia kila kitu kwa ajili ya safari! Thats why its only for interested candidates
Hayo mambo ndo hua magum, kunitoza pesa kabla sijapata kazi nakuwa na uhakika gani kama kweli ntaitwa? Fanyeni kwamba mtu anatoa hela baada ya kuwin interview.
 
Hivi waarabu si ndio waliobuni biashara ya utumwa duniani?
 
Naona wamebadili mfumo wa kuwapata watu kwenda kuwatesa Arabuni.
Baada ya malalamiko mengi sasa wamebadili gia zao.
Kama wewe ni agent peleka ndugu zako na watoto wa Dada, shangazi, wajomba, na majirani.
Kwani hawaziwezi hizo kazi?
 
tayari tumepeleka more than 60 candidates,wanafanya kazi,na ndugu zao wengne wanakuja kwa ajili ya kuapply hizo kazi,so ni suala la kwamba umefikaje huko nje ya nchi,ukiondoka kinyemela bila kufuata taratibu,magum lazima yatakukuta maana serikali yenyewe inakuwa haitambui upo nje ya nchi
Pumbavu sana nyie, Nina ndugu zangu wawili wapo Oman wanateseka na hawakwenda kimagumashi kama unavyosema tapeli wewe.

Nyie ni wauwaji, serikali futeni hizi kampuni zenye Slavery Mindset kwa Watu weusi.

Shida wanazopata watanzania wenzetu moto wa mungu utakuwa na nyie

Back
Top Bottom