Jilinde usichomwe na mfupa wa samaki na nyoka

Kuna hizi kazi Phoenix canariensis
IMG_20210604_215954.jpg
IMG_20210604_215924.jpg
 
Wakuu tupo katika club Cha pombe hapa tunapiga stori na wananchi wenzangu mdau mmoja kasema kwamba nyoka akifa ule uti wa mgongo ukibaki ardhini halafu ukachomwa Basi jua umepata majanga Kwani huo mfupa hauonekani kirahisi unaenda mbele haunaga reverse unaenda mpaka kwenye moyo ukikaa vibaya na pia Kuna uwezekano ukapata kansa kubwa..

Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.
Kwenye moyo unaenda mfupa au sumu yake?! Mfupa utasafirishwa vipi mpaka kwenye moyo?
 
Wakuu tupo katika club Cha pombe hapa tunapiga stori na wananchi wenzangu mdau mmoja kasema kwamba nyoka akifa ule uti wa mgongo ukibaki ardhini halafu ukachomwa Basi jua umepata majanga Kwani huo mfupa hauonekani kirahisi unaenda mbele haunaga reverse unaenda mpaka kwenye moyo ukikaa vibaya na pia Kuna uwezekano ukapata kansa kubwa..

Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.
Uko bar unatumia kinywaji gani
 
Katani mwiba wake unawasha tu ila hauna madhara.
Sio kweli mkuu. Nimeshuhudia mtu akinusurika kukatwa mguu huko Lugongo estates (Tanga) baada ya kuchomwa na mwiba wa katani na akachelewa kupata matibabu.

Wale waliotokea sehemu zenye mashamba ya mikonge wanaelewa ninachoongea.
Huo mwiba ni habari nyingine brother.
 
Back
Top Bottom