Recent content by jonta

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri simba sc iachane na masuala ya utani na Yanga

    Yaani umefikiria ukaona kwamba utani watu wanaombana.kizazi cha PlayStation mna mihemko sana! Siku nyengine utasema waachaga na wapare wasiwe watani kisa wachaga wanahela
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania uso kwa uso na Boss de La Boss la JF. Mapenzi ni pesa

    Nimelike na kukoment kabla sijasoma. Nimekumiss tu!
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kundi la G7 lilivotafuna Mademu wa Dar (mpaka sasa hivi wanatafuna) zijue Mbinu zao

    Absolutely, ila naona mkongwe kapotea tena
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kundi la G7 lilivotafuna Mademu wa Dar (mpaka sasa hivi wanatafuna) zijue Mbinu zao

    Bora umerudi mkongwe hujawahi kuniangusha! Na hii stayhome unafaa sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Walimu wakatwe mishahara tuwaongezee Wahudumu wa Afya

    Nadhani mtoa mada ni matunda ya elimu aliyofundishwa na madaktari na wauguzi mpaka uwezo wake wa kufikiri umefikia hapo , angekua amefundishwa na walimu sidhani kama angekua na uwezo wa kufikiri jinsi hii pamoja na wote wanaosapoti maoni yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Miti kupukutisha majani ni jambo la kawaida ili kuendelea kuishi wakati kiangazi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club achaneni na nia yenu ya kumfukuza kocha wetu Patrick Aussems kwani tutakuja kujuta na kulia akiondoka

    Inawezekana alikua anatafutiwa sababu na imeshapatikana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club achaneni na nia yenu ya kumfukuza kocha wetu Patrick Aussems kwani tutakuja kujuta na kulia akiondoka

    Hofu yangu labda club inapunguza gharama za uendeshaji, sababu hata kombe lenyewe lina thamani ya ndogo sana kiongozi
  9. J

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club achaneni na nia yenu ya kumfukuza kocha wetu Patrick Aussems kwani tutakuja kujuta na kulia akiondoka

    Mi nafikiri tatizo ni labda ni mshahara, maana uwanjani kocha yupo vizuri, labda kama timu ulikua kwa mbinu za nje ya uwanja wakati kocha anavuta mpunga mrefuu
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happening Now: Groundbreaking Dongo Kundu Special Economic Zone.

    Watu wa vi nchi vidogo mna tabu sana
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuacha kazi

    Tafuta kazi mkuu, nadhani unaweza pata tena
  12. J

    JamiiForums Tanzania DC Rorya awasweka walimu mahabusu wiki moja bila dhamana

    Mwenye uzi tafadhali angalia tarehe, vingenevyo uzi huu unakosa uhalali kwani inaonekana tarehe 22.8.2019.ambayo bado hatujaifikia.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Paula Kajala ataga matokeo ya form four

    Inasikitisha kama mpka leo kuna wanaume na wanawake tunaanzisha nyunzi hapa kumnanga binti ambae anahitaji msaada wetu positively ili kumsaidia kupambana zaidi katika elimu. Hebu tubadilike watanzania wenzangu. Paula bado ni mtoto tusimkatishe tamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Lara 1 the boss nakusalimia Mama
  15. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Imara zaidi kuliko CCM

    Kumtoa Mbowe CHADEMA ni kilio cha Muda mrefu cha waoga na wanaojua umuhimu wa Mbowe ndani ya Chama kwa muda huu
Back
Top Bottom