Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Akili za vijana wa uvccm haziko salama. Mfano ni yule mwenyekiti wao.Uimara wa chama unapimwa kwa kuwa na Jengo? Unajua kwamba TANU kabla ya kushika madaraka ya dola kilikuwa kinatumia majumba ya watu kwa ajili ya kazi za chama hicho. Unajua kwamba pamoja na majengo lukuki CCM waliyopora toka kwa watanzania wote chenyewe bado kinategemea kuchukua wanachama wa CHADEMA ili kujiimarisha!!?