Recent content by jonson

  1. J

    Re : Rais mstaafu benjamin willium mkapa mvivu wa kufikiri

    Rais mstaafu ben willium mkapa ameumbuka katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika juzi huko arumeru mashariki kwa kusema eti vicent nyerere hajulikani kwenye ukoo wa nyerere wakati ukweli anaujua fika kuwa vicent nyerere ni mtoto wa mdogo wake nyerere na ndio maana siku ya mazishi ya baba wa...
  2. J

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    RAIS MSTAAFU BEN MKAPA AUMBUKA. Rais mstaafu ben mkapa ni mmoja wa viongozi walioumbuka katika uchaguzi uliopita huko arumeru. akiwa katika kampeni mkapa alikwenda mbali na kuanza kutoa maneno ya kejeli kwa vicent nyerere kwa kumwambia kuwa yeye sio mtoto wa nyerere wakati anajua fika kuwa...
  3. J

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AUMBUKA. Rais mstaafu ben mkapa ni mmoja kati ya viongozi wa ccm walioumbuka katika kampeni huko arumeru. akiwa katika kampeni mkapa alikwenda mbali na kuanza kutoa maneno ya kejeli kwa vicent nyerere kwa kumwambia kwamba yeye sio mtoto wa nyerere wakati anajua fika...
  4. J

    Moja kati kauli za mbunge mteule Nasari...!

    yep dogo yupo fiti sana, hata mimi nimependa sana kauli hii, imenikosha sana. wana ccm wamepata majibu wanayostahili coz wamezidi kuwa wajinga. bravo joshua nasari
  5. J

    Mijitusi ya Lusinde Vs Sugu - Clouds FM

    mmh mimi nawajua fika hawa jamaa wa clouds radio ni watu wa lowasa ndio maana kila kukicha wanapenda sana kumpamba lowasa. nimejaribu kufanya utafiti nimegundua ya kwamba habari yoyote nzuri iliyoandikwa juu ya lowasa wao wanapenda kuipamba sana. lakini itokee habari kama ya dr mwakyembe au...
  6. J

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyenzi mungu muumba ya yote na mwingi wa rehema.pili niwashukuru wapambanaji wote wa chadema pamoja na mimi kwa ushindi huu mkubwa ambao tumeupata. hongera sana. hii inaonyesha ni kwa kiasi gani chadema kinazidi kukua hapa tz na kuweza kupata wanachma wengi zaidi...
  7. J

    Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    :lol: nimecheka mpaka tumbo lauma jamani. lowasa kaumbuka. kama kuna siku ambayo lowasa hata kaa aisahau ni siku ya jana pale kijana mdogo masikini kabisa akaweza kuwashikisha adabu matajiri ,wezi wa pesa za umma,mafedhuri na watu wasijali watu wengine, kuweza kupata ushindi wa haki ambao...
  8. J

    Hainess na Machamuli Updates!

    wakati umefika sasa ,dhuluma, uonevu na kila aina ya ghiliba sasa vinakwenda ukingoni. aluta kontinua mapambano bado yanaendelea.tuwaunge mkono makamanda wetu .nawaombea makamanda wetu walioumia wapone haraka ili warudi kufanya kazi waliyoiacha.
  9. J

    Dr Mwakyembe kuingia kazini leo; kuzungumza na waandishi, nini tutegemee?

    kwa sababu akili yako imechoka na haina uwezo wa kufikiri kitu chochote maishani mwako, ni lazima uone hon dr harrison mwakyembe hana jipya. wala sishangai unavyoandika upuuzi wa kiasi kilichopitiliza namna hiyo. Katika miaka ya 1889 wakati wa vuguvugu la mapinduzi ya ufaransa watu wa aina...
  10. J

    Dr. Mwakyembe umekoswa, Hii mara ya pili; Sasa waachie mambo yao!

    acha utoto ,andika mambo yenye maana. acha tabia za kike.
  11. J

    Dr. Mwakyembe umekoswa, Hii mara ya pili; Sasa waachie mambo yao!

    we mwendawazimu nini, mungu amsamehe dr tena? kwa nini mungu asiwasamehe hao mafisadi waliomlisha sumu dr.acha ushabiki wa kijinga.
  12. J

    Dr. Mwakyembe umekoswa, Hii mara ya pili; Sasa waachie mambo yao!

    jamani mungu amsamehe kwa lipi baya alilofanya. ningekuelewa ungesema mungu awasamehe wale waliomlisha sumu dr mwakyembe.jaribu kuwa makini unapoandika kitu
  13. J

    Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

    tukuletee ushahidi kutoka wapi?mbinguni ? acha kuwa mjinga na usitufanye watu wote ni kama mke wako au mabwana zako akina lowasa, rostam na huyu mwema. tumeshajua kinachoendelea coz mwema ameshapelekewa ushahidi wa kutosha anajifanya haoni anasubiri apate amri kutoka kwa wakuu wake lowasa na...
  14. J

    Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

    we **** unataka ushahidi kutoka wapi? mbinguni? acha mambo ya kisenge. kila kitu kipo wazi kabisa. subiri na sisi tufanye kazi yetu. utasikia. mungu ibariki tz
  15. J

    Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

    acha unafiki wewe, sitta ni kiongozi shupavu anaehitajika katika nchi hii. we endelea kubaki na ulimbukeni wako wa kuwa kibaraka wa edward. huna jipya kazi yako ni kuendeleza unafiki tu, wewe pamoja na huyo lowasa wako wote ni wezi
Back
Top Bottom