Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

Huyu Kimaro a.k.a 7,6 hiyo jina aliipatia hapa A town,enzi yake miaka ya 1987 hadi 2001 hv na ana misifa haswa na yuko njema kiafya kweli kweli na hata kikosi yake yote karibia wamekuwa mang'aa na hata wengine wameshatangulia mbele ya haki kwa mfano Msomali,huyu alimkamata mama mmoja aliyekuwa anauza pombe aina ya gongo na ndipo yule mama akamwomba sana amwachie na katukatu akakataa kbs kumsamehe yule mama akamkamlia na maziwa akiwa na maana chochote anachofanya ni kwa ajili ya watoto lakini msomali akakataaa na ndipo msomali akabeba ile gongo,Hakika nawaambia yule askari baada ya kuondoka tu akakanyagwa na catapiler lile la kutengeneza barabara na ndio ikawa mwisho wa uhai wa huyu rafiki yake 7,6! Mtaona nasema uwongo lakini ukweli ndio huo!

Mkuu hapo nilipo bold,italize na ku underline,,umemwona Patrick Kimaro@ Saba sita hivi sasa? pamoja na makeke yake yote jamaa hoooooii,afya sio yenyewe,ni yale mambo yetu yale real! Pia chanzo cha jina 76 c kwamba alibatizwa Arusha,bali ilikuja kama kifupisho cha Force namba zake ambazo ni E.7676. Jamaa ni jambazi paseee!
 
Naomba mwenye Profile ya huyo kimaro AKA 76 pamoja na Cv yake amwege huku jamvini tumjue vizuri,kama kaletwa huku Moshi tumjue na tujue jinsi ya kupishana nae njiani Tafadhali.

CV itoke wapi mkuu? ni police wa wakati ule Div 4, bora hata leo kiasi jeshi limeboreshwa.kakaaa sana hapo moshi ccp akifundisha gwaride uwanjani akiwa Cpl-Sgt akahamishwa,b4 alikuwa Arusha, ila kuna wakati alioteaga deal Mirerani kule la mawe akawa na hela that time sambamba na fujo zingine akiwa Arusha, I tell u the chap is jambazi passeee kwenye muamvuli wa upolisi. ndo maana sishangai hata plot against Mwakyembe
 
Tuletee habari kamili na credible source yake sio kulalamika tu!
Unataka habari kamili ipi habari kamali ni hiyo inayohusu uhamisho na ndio lengo lenyewe sasa kama hutaki ndio imeshatufikia na tumeshajua kinachoendelea
 
hatuyafurahii mabaya yaliyomfika mwakyembe, hasha....... lakini majanga yake haya yanatosha kuwa reminder ya maandiko matakatifu yanayosema kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.
MUNGU alimpa mwakyembe fursa pekee ya kufanya lililo jema kwa nchi yetu kupitia richmond scandal but the guy blew it kutokana na kujaa unafiki, ubinafsi, husuda, fitna na kukubali kutumikishwa kama robot!

unafiki, ubinafsi, husuda, fitna etc.... vyote hivi ni dhambi.
 
Huyo Sabasita ndiye yule aliyekuwa Arusha miaka ya nyuma? Kama ndiye, then no doubt kuhusika kwenye issue ya Mwakyembe. Alikuwa anapenda sifa za kijinga na alipenda kuhusika kwenye matukio ya kutisha, vurugu, na unique. Alikuwa maarufu sana Arusha akahamishiwa Moshi.
huyu sabasita ni yule wa ARUSHA,MOSHI
Jamaa anapenda mijisifa na kutishia kwa silaha hata pasipostahili.
 
tukuletee ushahidi kutoka wapi?mbinguni ? acha kuwa mjinga na usitufanye watu wote ni kama mke wako au mabwana zako akina lowasa, rostam na huyu mwema. tumeshajua kinachoendelea coz mwema ameshapelekewa ushahidi wa kutosha anajifanya haoni anasubiri apate amri kutoka kwa wakuu wake lowasa na rostam.napenda jamii ifahamu ya kwamba tumeshafaham nini anafanya bwana mdogo huyu mwema. watanzania wenye mapenzi mema subirini muone kitakachotokea. mungu ibariki tz.
 
Kimaro aka 76 - he is a serial killer - na mkuu wa Police anafahamu hivyo - Tatizo kubwa ni kuwa anayo nguvu kubwa ndani ya "kikundi maalum cha jeshi la police" ...

Waulizeni majambazi na wale magaidi wa kisomali waliomuua OCD kule Serengeti......
 
Mkuu hapo nilipo bold,italize na ku underline,,umemwona Patrick Kimaro@ Saba sita hivi sasa? pamoja na makeke yake yote jamaa hoooooii,afya sio yenyewe,ni yale mambo yetu yale real! Pia chanzo cha jina 76 c kwamba alibatizwa Arusha,bali ilikuja kama kifupisho cha Force namba zake ambazo ni E.7676. Jamaa ni jambazi paseee!

Ndio maana alitumika sana katika kuua majambazi alipokuwa Morogoro!
 
Waulizeni majambazi na wale magaidi wa kisomali waliomuua OCD kule Serengeti......
Sabasita Kimaro! Huyu polisi ni bonge la Mbabe,alikuwa anakamata wahalifu mwenyewe alafu anawakimbiza barabarani kifua wazi hadi kituoni! Enzi hizo watoto walikuwa wanamuona Rambo wa Arusha! mashabiki wa soka wanamjua sana huyu!
 
​kumekucha kama waziri wa serikali anatishiwa kuuliwa na hakuna kinachofanyika kumkinga ni bora basi ajiuzulu na uwaziri wenyewe kwani hakuna maana ya kuwa waziri wa serikali isiyokujali ata kidogo
 
Sabasita kachoka sana siku izi..ngoma si mchezo!

PATRICK%2BKIMARO%2BSABA%2BSITA%2BNAGAWA%2BCHAI%2BKWA%2BWAETHIOPIA%2B103%2BKTK%2BMAHAKAMA%2BYA%2BHAKIMA%2BMKAZI%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B4.JPG


Huyo hapo akigawa CHAI kwa wasomali!
 
Kama saed mwena amemhamisha kwa sababu hiyo naye anahusika na ukora aliofanyiwa dr. makembe na kama rahisi amelijua hilo af akakaa kimya bila kuwachunguza wanaotuhumiwa/kutajwa na kuwachukulia hatu kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi basi nae atakuwa anahusika.
 
Namkumbuka siku nyingi sana Arusha kwenye matukio muziki na mpira uwanja wa sheikh Amri Abeid alikuwa anapenda kutembea na mbwa wa polisi huku amevaa mayenu anachapa wazamiaji.

Kweli hata mimi nakumbuka sana miaka hiyo ya Sheikh Amri Abeidi ,miK y 1991 Naura Pr. .Mbele ya shule hiyo ndio kulikuwa na Kituo cha Polisi...
 
Back
Top Bottom