Dr. Mwakyembe umekoswa, Hii mara ya pili; Sasa waachie mambo yao!

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Dr Mwakyembe ni wakati wa kujiangalia mwenyewe,Umekoswa na Ajari ukapona,Wamekulisha Sumu bdo upo hai...Sasa mbunge wangu Waachie vilio vyao..
Kwe elimu yako hauna utakachokosa ukiacha Siasa lakini kwa sasa watakuwinda mpaka wa kupate,
Adui 76 kaenda kupewa mafunzo zaidi..
Nachokuomba Imwage Report yako mbele Umma wa TZ then Mrudishie Mkulu uwaziri wake,Rudisha kadi ya chama,Mwaga na ubunge,Rudi kwa Mungu Na ufanye ibada sanaa,Utubu..Mungu atakusamehe.
 
Apambane Hakuna Kurudi Nyuma,amuogope Mungu tu na sio Binadamu........
Mwakyembe uskubali Ushauri wa Woga,
 
.......alisema akirudi hai atamwaga kila kitu hadharani, sasa amerudi na ngonjera zile zile za barua za akina sabasita, kitakachommaliza Mwakyembe ni unafiki wake, nina uhakika anayajua maneno ya biblia ya kuwa ama moto au baridi, mambo ya kucheza kiungo aachane nayo. kila la kheri katika afya yake
 
Dr Mwakyembe ni wakati wa kujiangalia mwenyewe,Umekoswa na Ajari ukapona,Wamekulisha Sumu bdo upo hai...Sasa mbunge wangu Waachie vilio vyao..
Kwe elimu yako hauna utakachokosa ukiacha Siasa lakini kwa sasa watakuwinda mpaka wa kupate,
Adui 76 kaenda kupewa mafunzo zaidi..
Nachokuomba Imwage Report yako mbele Umma wa TZ then Mrudishie Mkulu uwaziri wake,Rudisha kadi ya chama,Mwaga na ubunge,Rudi kwa Mungu Na ufanye ibada sanaa,Utubu..Mungu atakusamehe.
Zubeda, nilitofautiana sana na wengi kuhusu ripoti hii ila kwa sasa tuweke ubinaadamu mbele, kwanza tunuombee uponyaji wa haraka akishakuwa fit ndipo tunshukie na ripoti yake.

Mwalimu wangu Dr. Mwakiyembe, Get Well Soon!.
 
Dr Mwakyembe ni wakati wa kujiangalia mwenyewe,Umekoswa na Ajari ukapona,Wamekulisha Sumu bdo upo hai...Sasa mbunge wangu Waachie vilio vyao..
Kwe elimu yako hauna utakachokosa ukiacha Siasa lakini kwa sasa watakuwinda mpaka wa kupate,
Adui 76 kaenda kupewa mafunzo zaidi..
Nachokuomba Imwage Report yako mbele Umma wa TZ then Mrudishie Mkulu uwaziri wake,Rudisha kadi ya chama,Mwaga na ubunge,Rudi kwa Mungu Na ufanye ibada sanaa,Utubu..Mungu atakusamehe.

jamani mungu amsamehe kwa lipi baya alilofanya. ningekuelewa ungesema mungu awasamehe wale waliomlisha sumu dr mwakyembe.jaribu kuwa makini unapoandika kitu
 
we mwendawazimu nini, mungu amsamehe dr tena? kwa nini mungu asiwasamehe hao mafisadi waliomlisha sumu dr.acha ushabiki wa kijinga.
 
.......alisema akirudi hai atamwaga kila kitu hadharani, sasa amerudi na ngonjera zile zile za barua za akina sabasita, kitakachommaliza Mwakyembe ni unafiki wake, nina uhakika anayajua maneno ya biblia ya kuwa ama moto au baridi, mambo ya kucheza kiungo aachane nayo. kila la kheri katika afya yake

acha utoto ,andika mambo yenye maana. acha tabia za kike.
 
Mungu amsamehe kwa unafiki wake, ametuchosha na habari ya kusema eti atapasua jipu mara ananywea, kwa sasa huyu jamaa haangaliki, kucha zinadondoka, ngozi inatuna, nywele na vinyweleo vya sehemu zote vinadondoka, kazi kutupa excitement za kutoa siri nakutokutoa siri.

Mimi niliposhindwa kumuelewa ni pale aliposema akitoka India atamwago yote peupe, mara tena eti namwachia mungu, mara ntasema, mara angoje akipone huyu haponi hii sumu waliyoiona baada ya kutobolewa mifupa ni vigumu kutabiri kama kweli imetoka yote maana hata India wamekubali kwamba ilikua kiboko.

PIli nasikia hata huyo dada aliyemshitua kwenye hiyo karamu hapo `mlimani city nasikia ameshauawa. Kwa hiyo huyu bwana hayuko salama kabisa ni ubora tu atuambie anachokijua maana wameshamuwahi, yeye lazima akubali kwamba ni adui wao na hatakuwa rafiki yao. asimame na watanzania na kuomba msamaha pale ambapo alikua tayari kuwasaliiti kwa ajili ya cheo cha unaibu waziri na kuripoti kwa mtu ambaye ni junior kwake ki elimu, experience, ezposure, itikadi na hata utendaji wa kazi.

Watoto wake wadogo anawa risk kwa tamaa za kipumbavu, na kujikomba. Linga uli nyambala bho bhapabi bhako, bhika sosya pa bwasi tusimanye syosya sije pa bwelu, tutakuheshimu, tukujua kwa uhalisia wako,
 
wewe ndo muhusika nini??

mwogope mtu aloenda kushtaki kwa mungu,bora akuloge kuliko kumshtakia mungu,sasa kwa kua hatujui kama ugojwa unahusiana na mambo ya siasa tuache tu.najua kuna watu wengi wanaugua magojwa ya ajabu lkn kwa kua si wakubwa tunaona ni mipango ya mungu
 
Mungu kama haya yanayomkuta Dr ni mapenzi yako basi jina lako libalikiwe lakini kama ni kwa nguvu za sayansi ya wakiuochukizwa na utendaji wake Baba katende yaliyo maajabu.Mungu akubaliki Mpiganaji wa ukweli Dr tunajua nao pia wana Mwisho wao.
 
Mungu amsamehe kwa unafiki wake, ametuchosha na habari ya kusema eti atapasua jipu mara ananywea, kwa sasa huyu jamaa haangaliki, kucha zinadondoka, ngozi inatuna, nywele na vinyweleo vya sehemu zote vinadondoka, kazi kutupa excitement za kutoa siri nakutokutoa siri.

Mimi niliposhindwa kumuelewa ni pale aliposema akitoka India atamwago yote peupe, mara tena eti namwachia mungu, mara ntasema, mara angoje akipone huyu haponi hii sumu waliyoiona baada ya kutobolewa mifupa ni vigumu kutabiri kama kweli imetoka yote maana hata India wamekubali kwamba ilikua kiboko.

PIli nasikia hata huyo dada aliyemshitua kwenye hiyo karamu hapo `mlimani city nasikia ameshauawa. Kwa hiyo huyu bwana hayuko salama kabisa ni ubora tu atuambie anachokijua maana wameshamuwahi, yeye lazima akubali kwamba ni adui wao na hatakuwa rafiki yao. asimame na watanzania na kuomba msamaha pale ambapo alikua tayari kuwasaliiti kwa ajili ya cheo cha unaibu waziri na kuripoti kwa mtu ambaye ni junior kwake ki elimu, experience, ezposure, itikadi na hata utendaji wa kazi.

Watoto wake wadogo anawa risk kwa tamaa za kipumbavu, na kujikomba. Linga uli nyambala bho bhapabi bhako, bhika sosya pa bwasi tusimanye syosya sije pa bwelu, tutakuheshimu, tukujua kwa uhalisia wako,

nine ngwitika nkulumba,........
 
Dr Mwakyembe ni wakati wa kujiangalia mwenyewe,Umekoswa na Ajari ukapona,Wamekulisha Sumu bdo upo hai...Sasa mbunge wangu Waachie vilio vyao..
Kwe elimu yako hauna utakachokosa ukiacha Siasa lakini kwa sasa watakuwinda mpaka wa kupate,
Adui 76 kaenda kupewa mafunzo zaidi..
Nachokuomba Imwage Report yako mbele Umma wa TZ then Mrudishie Mkulu uwaziri wake,Rudisha kadi ya chama,Mwaga na ubunge,Rudi kwa Mungu Na ufanye ibada sanaa,Utubu..Mungu atakusamehe.

Naunga mkono aache siasa lakini kabla ya kuacha atuambie ukweli aliouficha kwenye sakata la Richmond.
 
Back
Top Bottom