Kwanza uliza umri je umri wa lowasa ww unaweza kuufikia je hayo maji ya Lita ngapiy mpka mtu ashindwe kubeba chupa ya MAJI ata ww uwezi kunywa maji ya Lita moja na nusu bila ya kupumzika
Pale mbele yupo tambwe yupo Sherman yupo msuva wamemuongeza kaseke bdo kuna dogo walmsajili kabla ligi aijaisha wanaaribu hela zao na kuua vipaji vya madogo uyo busungu chizi kama javu alishindwa kuonekana atakuwa yeye amuulize tegete
Duu mkuu wkt nasoma hii habari nilikuwa nakuonea huruma sana lkn aina jins ukiangalia ndoa yenu ya kanisani mm nakushauli endelea kuthamini wazazi wko kwani ndio waliokufikisha hpo vile vile wanawake wenye kipato iyo ndio shida yao pole sana kaka
Gongolamboto ni sheeda nimetoka saa kumi kma SAA moja ya jumatatu akuna hata gari bora ya uku MBAGARA mauda yanasaidia kidogo sasa cjui nayo baadae yatagoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.