Hiki kichwa cha habari, ni utata mtupu

Hiki kichwa cha habari, ni utata mtupu

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,752

CDL7eHEWMAAfXZI.jpg
 
Ile sheria mpya bado Jk hajasaini kwani itahusu waandishi wa habari kama hawa.
 
Ivi kuna mtu kanunua gazeti kma ilo alafu unafika nyumbani dogo anaomba alipitie
 
Mhariri kaipitisha hiyo dah kweli mapenzi yamewazidi wanajiona kama wapo uwanja wa Taifa bwana
 
This is intolerable....cant believe if this is tru

Tumefika huku kweli...hilo gazeti lina mhariri? huyo mwandishi ana walau taaluma yoyote achilia mbali ya uandishi wa habari?

Bado tu hili gazeti halijafungiwa?
 
Tanzania kuna "waandishi makanjanja" hii kauli kuna kipindi aliiongea kiongozi mmoja simkumbuki ila nachokumbuka alipopolewa sana na kalamu za Waandishi but yametimia,tasnia ya habari Tanzania ijichunguze upya inaonekana imevamiwa na wahuni haiwezekani mwandishi makini aandike upuuzi huo ktk gazeti litakalowekwa ubaoni kuuzwa,wizara ya habari nayo imekaa kimya maadili yanavunjwa wanasubiri magezeti makini yaandike maovu ya serikali wayafungie.
 
Sir _mimi nahisi maneno ya kanjanja yalitolewa na mwandishi wa habari mwenzao Mh Benjamin Mkapa
 
Last edited by a moderator:
Naona wanataka kupima makali ya sheria mpya.

Tusubiri nn kitatokea.
 
Muandishi alisahau kuweka heru ''KU'' hapo mwanzo, story ingeeleweka vizuri
 
Back
Top Bottom