Wana jf leo ni majanga, nipo kituon mbez tangu saa kumi na moja.asubuh sijapata usafir had sasa,watu ni weng mno na wengine wameamua kurud majumbani mwao baada ya kuona hamna dalili ya kupata usafir. Naskia kuna mgomo wa madereva nchi nzima.
Rai yangu kwa wahusika chondechonde wakae pamoja wamalize tofauti zao ili mgomo uishe la sivyo ni majanga makubwa.
Nawasilisha.
Rai yangu kwa wahusika chondechonde wakae pamoja wamalize tofauti zao ili mgomo uishe la sivyo ni majanga makubwa.
Nawasilisha.