Amesoma Milambo akitumia jina la Mayage Shaban Mayage kama alikuwa kubadili dini jina la Shabani likawa Stephen sijui. He was rebellious in character. RIP my student. We may have differed during UKawa issues but you never lost respect to those who deserve it.
Toa mfano mmoja wa salary slip wanaojua hesabu ukibandika hapo watakuonyesha kuwa makato ya kodi (PAYE) inahusu gross salary kabla ya kuakata hiyo pension contribution . anayebisha hill hajui hesabu au anajifaya hajui kwa mahaba tu na waleta huu mswada.
Kumwita Nyerere kuwa alikuwa kibaraka Wa mrusi ni matusi makubwa kwa mwanamapinduzi anayeheshimika dunia nzima. Nyerere alikuwa mjamaa kweli lakini ujamaa wake haukuwa kama urusi. Mrusi alikuwa na ujamaa wa scientific socialism lakini Nyerere hakuupenda aina hiyo ya ujamaa sababu alisema...
Kwa kuweka sawa mambo ni kuwa hizo nchi ulizotaja hazikuwa sehemu ya utawala wa USSR Bali walikuwa washirika wake Mwenye mambo ya ulinzi ikijulikana kama WARSAW PACT napia zilikuwa na Sera ya kijamaa kama USSR. Na umoja huo ulikuwa ni kukabiliana na NATO ya Marekani na nchi za kibepari za...
MTU akiwa na matumizi ya unit 200 (kWh) kwa mwezi atahita panel za 200 w ngapi na invertor na betri za nguvu gani tafadhali nisaidie . Swali LA Pili ,je panel ya watt 200 ukiweka kwenye mwanga Wa kutosha kwa masaa 10 inaweza kutoa kWh ngapi kila siku?
Drama ni kk kwa maana ya Korea kusini ambao tulikuwa sawa nao kwa ngazi ya maendeleo miaka ya 1960s ila Leo wao wako first wold na GDP ya juu sana , sisi bado tuko third world na GDP ndogo sana. Walipata kiongozi mwenye vision akaongoza kwa miaka 30 ndiye aliwafikisha hapo ila aliwanyima Uhuru...
Rwanda serikali iliwapa Umeme Wa Bure (installation) wakapewa ruzuku ya Ankara lakini malpo ya kila mwezi walishindwa kulipa. Sasa mtu kushindwa kulipa Umeme uliopewa Bure hapo kuna maisha bora? Ng'ombe kila familia zimepata chache 300000(laki tatu tu) bado rwanda Wall nyuma ya Tanzania vigezo...
Kwa kuchangia tu, Zimbabwe ilipopata Uhuru katiba yake mwenye mamlaka kiutendaji alikuwa waziri mkuu Mugabe na Canaan Banana alikuwa ceremonial president. Hivyo ,Mugabe haikumpendeza kukosa mizinga 21 kwani hakuwa had of state. Ndipo baadae akabadili katiba na kuwa executive president .hapo na...
Mama hizi taarifa nzuri na za maana unazipata wapi . tungekuwa na member 3 kama wewe jf ingekuwa bora zaidi. Wengine wanajiandaa kuandika trash humu ndani. Mama ubarikiwe great Sky Eclat. Tangu ile ya Mobutu nakukubali. Malizia na ya Mugabe kabisa tafadhali ukumbuke na alivyohusishwa na kifo...
Naomba kujua kama MNA machine ya kupanda mpunga ambayo ni manual haitumii mashine. Na bei yake ni kiasi gani? Huwa naziona kwenye you tube. Ziko simple ila zinarhisisha Kazi .naomba jibu tafadhali.
M,zungu atasema anaendesha mibgodi kwa hasara , labda serikali iwe INA mechanism ya kuverify gharama za uendeshaji. Machine zinazonunuliwa zitakuwa inflated na hayo makampuni
Angalia hiyo bei kwa megawatt hizo kabla ya kushangilia .jamani kabla ya kucomment tufanye kujiuliza ABC ya mradi husks .una manufaa au Bomu LA Iptl jingine like? Uliona wapi mwenye mtaji akahangaikia wahitaji kama sio kwa manufaa yake na hasar kwa mhitaji pamoja?
Kenya wamesema demand yao kwa sasa haiwezi kuabsorb huo Umeme. Na mkataba wa huo Umeme ni kama iptl kama hujatumia kuna kulipa tu wakati wote. Hiyo si sawa na capacity charge kwajina lingine? Kenya wamekataa kujenga mazingira ya kulipia Umeme usotumika .Soma tamko la wizara ya nishati Kenya ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.