Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

Ni kwanini watu wengi hasa watanzania wanaipenda Rwanda?

Utakua unaipenda hiyo Rwanda mwenyewe. Wanaoijua vizuri hawawezi kuipenda. Isikie tu na maendeleo yako uachie hapo. Tanzania ndio nchi nzuri East Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi nyinyi mnaijua Rwanda au mnasema tu miaka kumi na tisa ya utawala wa kagame usipime ukweli lazima uzungumzwe kagame kaleta mbadiliko makubwa sana ni nchi inayo vutia kimaendeleo ya kasi na yanaonekana kila kitu kimekaa vizuri rushwa imepungua kwa kiasi kikubwa ingawa kuna mapungufu ya kibinadama huwezi kuyamaliza ila nchi imekuwa na maendeleo kwa kiasi chake ukizingatia na uchache wa rasili mali za nchi yao ila wamethubutu kama ni chuki binafsi hiyo ni juu yenu ukweli utabaki ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu wote ni ndugu zangu na Africa ni moja. Ahadi ya mwanaTANU. UPENDO KWA MAJIRANI NI JAMBO JEMA. Mtanzania ana fursa ya maisha bora Tanzania kuliko majirani wote, Rwanda ikiwemo. Hats Kenya wanatuzidi GDP hawana life expectancy kama Tanzania, sembuse Rwanda ambao hawatuzidi chochote hats GDP per capita Tanzania iko juu ya Rwanda.ukitoka kujua ubora Wa maisha ya mwananchi Wa chini angalia ni wapi mwananchi wengi wanajipenyeza na kuwa wshamiaji haramu .Tanzania INA wageni wengi nao wanafuata fursa. Mtanzania mwenye msuli Wa Kazi inaweza ukkakata kibali ulaenda msituni ukachoma mkaa kwa mwezi mmoja ukauleta mjini ukauza kama ni gunia mia unauza Milioni 3 cool ukitoa gharama zako unabaki na milioni hata mbili. Hiyo fursa haipo nchi nyingine E.A. hata Amani yetu na utulivu muhimili wake ni ubora Wa maisha Tanzania. Wenye mahaba na illusion ya ubora huko majirani watabisha karibuni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda serikali iliwapa Umeme Wa Bure (installation) wakapewa ruzuku ya Ankara lakini malpo ya kila mwezi walishindwa kulipa. Sasa mtu kushindwa kulipa Umeme uliopewa Bure hapo kuna maisha bora? Ng'ombe kila familia zimepata chache 300000(laki tatu tu) bado rwanda Wall nyuma ya Tanzania vigezo vyote ila rais yule anajitahidi maana genocide iliwaacha pabaya. Hata hivyo kulinganisha Rwanda naTanzania sio haki maana Tanzania tuna resources nyingi ambazo hawana.Mimi nilidhani tujiulize kwa mini tumeshindwa kutumia Amani yetu kujiletea maendeleo? Ukifikiria miaka ya 1960 tulikuwa na maendeleo sawa na Korea kusini Leo wao wako first world sisi tuko third world ya chini kabisa .Tukitambua hill tulirekebishe but Rwanda tuwahurumie bado ni wachanga mno sio mfano bora kurefer kwa maendeleo yetu.
 
upload_2017-11-22_10-8-17.jpeg
upload_2017-11-22_10-7-40.jpeg
upload_2017-11-22_10-7-40.jpeg
upload_2017-11-22_10-8-17.jpeg
upload_2017-11-22_10-7-40.jpeg
upload_2017-11-22_10-8-17.jpeg
 
Mahoro Inshuti reka nkubwire.....hakuna watu wanafiki hapa duniani kama wanyarwanda......ni waongo saana na kila mtu anajifanya mzalendo huko kutokana na hofu ya kumuogopa the hitler of africa paul kagabo kagame. wanyarwanda wana hofu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na hakuna urafiki wa kweli kati ya wahutu na watutsi........kuhusu maendeleo asikudanganye mtu sisi tanzania tumeendelea mara milion zaidi ya rwanda...kwa unafiki wanaoutumia kuudanganya ulimwengu ni ile hali ya kuparemba kigali na kuumanisha umma kua rwanda yoote ndio ipo hivyo.....try this vuka mpaka wa rusumo nenda mpka kirehe then kabla haujafika nyakarambi kata kushoto then nenda huko milimani dagaza kati gahara sector huko utakuta wanyarwanda wanaoishi maisha ya kijima zaidi ya unavyofikiria niliwa kwenda kwenye mradi mmoja wa wagengen pantanjilin society ya waholanzi nikakaa wiki nzima huko kuna tv ya kijiji na jioni kila mtu anaenda gulion na umeme ukiashwa tu hiyo saa moja basi ni taarifa za habari na kama inavyojulikana asilimia 99 ya habari za rwanda ni kumsifia kagame tu na umungu mtu wake......hapo bado hujaenda huko musanze ruhenjeri karibia na gisenyi kwenye mpaka wa rwanda na congo, huja enda changugu kuna dhiki za kufa mtu....

wale jamaa kwanza wana njaa iliotukuka kuna wanyarwanda wengi taingia wazaliwe hawajawahi kula samaki...wafite ivishimbo yaani maharage na ivirai yaaani viazi ulaya na ichitoki yaani ndizi na amata maziwa nyama anasa huko, ndio maana wakija huku hawataki kurudi kwao... the only thing i love from rwanda ni madem zao tu huko kuna wanawake wazuri wana vi..si...mi virefu basi ukipiga juu dakika mbili tatu unaikia ariko mana yanje sheri ndashaka kunyara, uwi ufite vyose, ndagukunda chane hapo atarusha maji hadi lita ishirini...
ila hayo mengine ni uzushi tu.
Mzee hapo mwisho ulinipigia kinyaru duuu hadi raha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda nikama nukta tu kwa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukifika rwanda unaona kabisa wananchi hawana furaha machoni mwao... nilifika kigali hotel niliyofikia wafanyakazi walikuwa wananionea wivu baada ya kugundua ni m Tanzania.. kila nikikaa garden nakunywa bia wanaiomba niwaelezee kuhusu Tanzania na Dar es salaam... na swali nililoulizwa mara nyingi ni why Tanzanian loves each other na kuna peace miaka yote
 
Kwa sababu ni washamba na wana uelewa mdogo wa global affairs.
Wadau...
Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame..

Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na mafanikio waliyonayo kwa kipindi kifupi know..

Mfano, utasikia watu wakisema eti mm Babu yangu ama Bibi yangu ametokea Rwanda, wengine wakifanana kidogo tu na wa kule lazima wanajiita wanyarwanda na wanajivunia Sana nchi hiyo hata Kama siyo kwao..

Hata mikoa na sehemu nyingi za pembezoni Kama kigoma, na baadhi ya sehemu za kagera watu wengi wanajivunia kuwa wanyarwanda kuliko watanzania..

Nashindwa kujua tatizo ni mini..
Je,

Tumekosa uzalendo?

Rwanda inavutia Sana kuliko Tanzania?

Maendeleo ya Rwanda ndio yanatuvutia zaidi?
..



Naomba kutoa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom