Kampuni ya Sweden yahamishia Tanzania mradi wa umeme wa upepo wa Tirioni 5 kutoka nchini Kenya

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,000
Dar es Salaam — A Swedish firm has relocated a proposed Sh5.3 trillion wind power project to Tanzania from Kenya, citing frustration by Kenyan authorities.

The wind farm in the Kenyan coastal town of Malindi would have been the largest in Africa, costing Ksh253 billion (Sh5.3 trillion).

According to Kenya's Business Daily, VR Holding AB had last year expressed interest in building a 600MW wind farm in the Indian Ocean waters bordering Ras Ngomeni in Malindi, but Kenya's Ministry of Energy officials turned down the request, citing lack of a framework for renewable energy projects of that scale besides low demand for electricity in the country.

The firm's executives said they had opted for investment in Tanzania, which shares the Indian Ocean coastline with Kenya.

"We have opted to look at offshore solutions for Tanzania," Ms Victoria Rikede, an executive at the company, said.

However, the acting Commissioner for Energy and Petroleum Affairs, Mr Innocent Luoga, told The Citizen yesterday that the investors had yet to officially communicate with his office.

Tanzania: Swedish Firm Relocates Sh5tr Wind Power Project to Tanzania
 
ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,757
2,000
The commissioner for Energy is waiting for them to Communicate Officially, wait and see..they will communicate once watakapo sign na Tz...
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,257
2,000
By Rosemary Mirondo
Dar es Salaam — A Swedish firm has relocated a proposed Sh5.3 trillion wind power project to Tanzania from Kenya, citing frustration by Kenyan authorities.

The wind farm in the Kenyan coastal town of Malindi would have been the largest in Africa, costing Ksh253 billion (Sh5.3 trillion).

According to Kenya's Business Daily, VR Holding AB had last year expressed interest in building a 600MW wind farm in the Indian Ocean waters bordering Ras Ngomeni in Malindi, but Kenya's Ministry of Energy officials turned down the request, citing lack of a framework for renewable energy projects of that scale besides low demand for electricity in the country.

The firm's executives said they had opted for investment in Tanzania, which shares the Indian Ocean coastline with Kenya.

"We have opted to look at offshore solutions for Tanzania," Ms Victoria Rikede, an executive at the company, said.

However, the acting Commissioner for Energy and Petroleum Affairs, Mr Innocent Luoga, told The Citizen yesterday that the investors had yet to officially communicate with his office.
Tanzania: Swedish Firm Relocates Sh5tr Wind Power Project to Tanzania

Haya kuna takataka walikuwa wanasema tunafukuza investors vp na hiyo 600 MW inatokea wapi?
 
apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
692
500
Wakenya mna kiswahili kigumu

Hizo comment mbili hapo juu nafurah mlivyoandika
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
Haya kuna takataka walikuwa wanasema tunafukuza investors vp na hiyo 600 MW inatokea wapi?
..Raisi Magufuli alishaelekeza kwamba Tanesco waachane na makampuni ya kuzalisha umeme na mikataba yao ya kinyonyaji.

..Katika hili namuunga mkono Raisi kwasababu independent power producers wamekuwa wakiiumiza Tanesco na waTz kwa ujumla.
 
Quart

Member
Sep 6, 2013
69
125
Waje kwa tahadhari maana huku tuna Mr.Unpredictable vinginevyo watakumbana na msururu wa tume.
 
mwakweya70

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
414
225
Hii nzuri inaitwa kufukuza mwizi kimya kimya Ooooh Tanzania wawekezaji hawatakiwi wala hawapendi kuja,sababu...blablaaa Jaman tutulie tujenge nchi siasa za maji taka si zama hizi.
 
jonas kwigeza

Member
Oct 12, 2016
99
150
Kenya wamesema demand yao kwa sasa haiwezi kuabsorb huo Umeme. Na mkataba wa huo Umeme ni kama iptl kama hujatumia kuna kulipa tu wakati wote. Hiyo si sawa na capacity charge kwajina lingine? Kenya wamekataa kujenga mazingira ya kulipia Umeme usotumika .Soma tamko la wizara ya nishati Kenya . Kwa hiyo serikali yenye nia njema Tanzania wasije Mfupa umemshinda fisi sisi tuutafune? Siyo serikali hii na kwa mikataba ile wafungiwe milango. Kwanza bei yake mW 600 ingekuwa Tshs 1.2 ndiyo floating price duniani. Wanatafuta pa kupiga Bomu . Awamu ya 5? .WARUDI KWAO.
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
4,541
2,000
Kenya lazima percent ya uhakika kwa waziri na viongozi muhimu wapatiwe,hawawezi kutia sahihi hadi wapewe chao kwanza.Wala hawaiti rushwa wanasema ni gharama za kuwajibika kutia sahihi.
 
jonas kwigeza

Member
Oct 12, 2016
99
150
Hii nzuri inaitwa kufukuza mwizi kimya kimya Ooooh Tanzania wawekezaji hawatakiwi wala hawapendi kuja,sababu...blablaaa Jaman tutulie tujenge nchi siasa za maji taka si zama hizi.
Angalia hiyo bei kwa megawatt hizo kabla ya kushangilia .jamani kabla ya kucomment tufanye kujiuliza ABC ya mradi husks .una manufaa au Bomu LA Iptl jingine like? Uliona wapi mwenye mtaji akahangaikia wahitaji kama sio kwa manufaa yake na hasar kwa mhitaji pamoja?
 
papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
3,497
2,000
kweli mfupa ulioishinda Kenya, Tz tutauweza?
kuna kila dalili za kuibiwa apo,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom