Recent content by Jomse

  1. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy anniversary to us

    Hapana sikuweza kuchepuka kwani mume wangu ndio kila kitu.
  2. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy anniversary to us

    Asante sana
  3. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy anniversary to us

    Asante Heaven Sent
  4. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy anniversary to us

    Ameen mpendwa
  5. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy anniversary to us

    Ninachukua fursa hii kumshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha leo tarehe 19/8 tumetimiza miaka 15 ya ndoa yetu. Tumebarikiwa kupata watoto 5. Tumepitia misukosuko na dhoruba nyingi sana lakin ni jambo la kumshukuru Mungu mpaka leo bado tupo pamoja. Katika miaka hii kumi na tano nimejifunza kuwa...
  6. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Roulette! Mwaaaah

    Happy birthday Roulette .Nakutakia maisha marefu
  7. Jomse

    JamiiForums Tanzania Mafuta mazuri ya kuifanya ngozi iwe soft

    Nenda maryrose cosmetics watakupa ushauri mzuri sana.S H amons sikushauri,watakupa mengi ambayo utatumia gharama kubwa na wala usifanikiwe
  8. Jomse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wakimachame si wakuoa!

    Sio kweli mnawaonea majirani zangu,hizi ni simulizi zilizokuwepo tangu zamani lakini hazina ukweli wowote,wanoongoza kwa kuwauwa wanaume wanajulikana.zile nyumba za kariakoo zinamilikiwa na wanawake ambao ni kabila gani?
  9. Jomse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia

    Pole sana jamani.Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
  10. Jomse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

    Pole sana kwa wafiwa
  11. Jomse

    JamiiForums Tanzania happy birthday Mayassa wangu

    Happy birth day Mayasa.
  12. Jomse

    JamiiForums Tanzania Birth day yangu ni 09.12.2011 natimiza miaka 50

    Hongera sana.kila la heri
  13. Jomse

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Nguruvi3..

    Happy birthday Nguruvi3
  14. Jomse

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya Kuzaliwa!

    Kila la heri katika siku yako ya kuzaliwa
  15. Jomse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

    Chuoni pale Hall 7
Back
Top Bottom