Siku yangu ya Kuzaliwa!

Magu

Senior Member
Jun 13, 2011
156
56
Wana JF wenzangu leo tarehe 09.12 ndo nasherekea siku yangu ya kuzaliwa nikiwa nimetimiza miaka 42. Namshukuru MUNGU kwa kuniwezesha kutimiza umri huu nikiwa na afya njema.
 
Hongera sana. Ni wachache sana tumeweza kufikia huo umri. Happy Birthday Magu
 
Happy Birthday. Umepungukiwa miaka 8 tuu ulingane na Tanganyika.
 
Happy%20Birthday%20Ballons%20Stars.jpg
 
Thnx wana JF, Appreciations to BAK, EMT, Rejao, much respect!!
 
Mkuu Magu Kila La Kheri katika siku yako ya Kuzaliwa....

Mwenyezi Mungu Akubariki....

:hat:....HAPPY BIRTHDAY & BEST OF LUCK IN YOUR LIFE....:hat:
 
Duuuh! Hongera sana ndugu, nakuonea wivu kwa kutimiza hiyo miaka... Nakuombea upate maisha marefu zaidi...
 
Naweza kusema kwamba leo ndio sikukuu yako ya mwaka mpya wa 42 tokea umeanza kuliona jua na natumai utakuwa umemshukuru Mungu kwa kukufikisha hapo. Mungu akuongeze maarifa na upendo na hatimaye uishi hadi siku ulizopangiwa hapa duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom