Mafuta mazuri ya kuifanya ngozi iwe soft | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta mazuri ya kuifanya ngozi iwe soft

Discussion in 'JF Doctor' started by Brightman Jr, Dec 21, 2011.

 1. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Waheshimiwa wakuu naomba ushauri wenu. Mara nyingi ngozi yangu inatatizo la kutoka vipele vilivyo mfano wa chunusi pale ninapojipaka mafuta hususan baada ya kuoga. Vipele hivyo hutokea baada ya siku tatu na huendelea kutoka kadri ninavyoendelea kujipaka. Nikiacha kupakaa mafuta vipele navyo hukoma kujitokeza. Nimejaribu kukaa bila kupaka mafuta kwa kipindi fulani, na ngozi yangu katika wakati huo hubadilika kuwa kavu isiyopendeza. Wataalam naombeni ushauri nitumie mafuta aina gani ili ngozi yangu ipendeze na iwe soft? Lotion nyingi nimejaribu hizo ndo hatari kabisa! Nawasilisha.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nenda S.H amon mtafute mdada yeyote apo akushauri ila angalia usiangukue kwa jamaa m1 hapo nasikia ameumia
   
 3. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu iko sehemu gani ili niende huko
   
 4. sixlove

  sixlove Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  fika s.h amon kwa ushauri zaidi
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Usiende S.h amon watakuharibu.
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  chukua mafuta ya korie (refined palm oil), kama mils 250 pamoja na mchaichai (lemon grass) handful 2 au 3 zilizokatwa katwa; chemsha hayo mafuta na mchaichai. Baadaye yaache yapoe; hayo ndio mafuta yako!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wapo posta opposite na mnara wa askari(round about,keep left) pia wapo kariakoo ndani ndani njia ya mtaa wa congo
   
 8. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Mmmmh................?! Mkuu niende wapi kutatua tatizo linalonisibu au nifanyeje?
   
 9. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Ushauri wako mkuu nitaufanyia kazi na baada ya wiki mbili nitakuPM nikupe results.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  je nilazima upake mafuta usoni?
   
 11. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Ndio, ili kuifanya ngozi iwe laiiiiini...!
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Kama una matatizo ya (ugonjwa wa) ngozi muone daktari.
  Kama ni kufanya ngozi iwe laini basi hata mafuta ya nazi ni poa.

  Health Benefits of Coconut Oil
   
 13. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda maryrose cosmetics watakupa ushauri mzuri sana.S H amons sikushauri,watakupa mengi ambayo utatumia gharama kubwa na wala usifanikiwe
   
 14. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Bora uwaambie.S.H. Amon toka lini wakawa dermatologists?
  Nimeona siku hizi hata yule mlinda mlango amepewa promotion ni beauty consultant lol.
  Muuliza swali kuna vitu vya kuzingatia:
  1. Umezungumzia kupaka "mafuta" hujasema ni mafuta gani.Kama ni mikorogo ujue tatizo linaanzia hapo.
  2. Unatakiwa ujue aina ya ngozi yako - kuna oily, dry na combination skin types.Hii itakusaidia kujua ununue mafuta gani kwa ngozi yako_Oily na combination japo ni nzuri kwa maana ya kutokupata mikunjo ya uzee mapema, tatizo lake ni kulipuka matatizo ya ngozi hasa chunusi/acne.
  3. Jichunguze ratiba yako na utaratibu wa kutunza ngozi yako. Kwanza kabisa osha uso wako mara mbili kwa siku minimum. Oshea sabuni maalum ya ngozi na nikisema sabuni haimaanishi sabuni za kujichubua.Nenda duka la dawa au supermarkets utapata hizi sabuni/cleansers.Tumia toner baada ya kuosha ili kuiweka ngozi katika usafi kamili. Malizia na lotion ya aina ya ngozi yako.EPUKA MIKOROGO! Hata siku moja usilale na make-up.
   
 15. p

  pilu JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nkushaurivo nikwamba heri uende kwenye duka la karibu la mambo hayo ya urembe coz wataalamu ni wengi siku hizi so watakushauri vizuri kutokana na aina ya ngozi yako watakavo kuona, so sikila ushauri humu utakufaa nivema ngozi yako ikaonwe kwanza na wataalamu wangozi ndivo tunavofanya ndugu.
   
 16. m

  mzaziiiii New Member

  #16
  Aug 20, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda s.h.amon ndo utatuzi utakapo tokea
   
 17. m

  mzaziiiii New Member

  #17
  Aug 20, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mary rose wananunua wapi bidhaaa si s.h.amon msipotoke jamani
   
 18. sir Ganto G

  sir Ganto G JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2013
  Joined: Jul 22, 2013
  Messages: 574
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mm mwenyewe najua S.H hamon is one of greatest cosmetics retailers in dar na wanao watalaam wao wa mambo ya ngozi....not sure of maryrose..
   
 19. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2013
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,808
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Jaribu na kupima UKIMWI, inawezakuwa ni sababu mojawapo. Maji unakunywa? unapaka mafuta gani? wewe ni mwanaume?
   
 20. mmash

  mmash JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2016
  Joined: Nov 30, 2013
  Messages: 389
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 80
  Amesema ameshajaribu kuacha kupaka lkn ndani ya kipindi kifupi tu ngozi yake imekuwa mbaya zaidi,itakuwa ilikuwa ngumu km ya kenge ktk kipindi ameacha kupaka kabisa
   
Loading...