happy birthday Mayassa wangu

Tokana na hizo post hapo juu.... Naaga hapa for the following reason.
  1. Namuonea wivu Mayasa mwili wake hauna shukrani.
  2. Nimeahirisha.... naenda chimba nguo nyingine Roulette kazoea nitesa. Navaa hot pants, Wedges, na a sexy buggy blouse courtesy ya Gucci. Naenda azima kwa King'asti.
  3. Hii style ya nywele haiendani na hot pants... Naenda saloon kuweka kitu Crazy!
  4. Nataka nihakikishe nikifika ukumbini "all eyes on me" of course baada ya the same eyes kutoka kwa Mayasa! lol
hahahaaa da Asha hujatulia wewe hata kidogo! yaani mbavu zangu uwiii... Haya bana fanya yote ila make sure UNAHUDHURIA.. hakuna kubadili mawazo..
 
hongera sana mayasa. naomba unifungulie nipo hapa mlangoni kwako nmekuletea zawadi ya happy new year...oops..ni zawadi ya happy birthday. nakutakia uishi maisha malefu..yenye furaha. Mia
 
hongera sana mayasa. naomba unifungulie nipo hapa mlangoni kwako nmekuletea zawadi ya happy new year...oops..ni zawadi ya happy birthday. nakutakia uishi maisha malefu..yenye furaha. Mia
Asante sana mkuu! Ubarikiwe kwa kuniletea zawadi nzuurii.. mia.
 
happy birthday mayassa wangu.....May God gives you 100 years to live a happier life...i will always love you Mayassa wangu.....wakuache uishi miaka 600

Mayassa ..............naogopa kutamka.
kwa Kinyambo ,Kihaya , Kichiga au Kinyankole

1.Mayasa -sehemu za siri
2.Kasino =mayasa ya kike
 
Mayassa ..............naogopa kutamka.
kwa Kinyambo ,Kihaya , Kichiga au Kinyankole

1.Mayasa -sehemu za siri
2.Kasino =mayasa ya kike
LOL.. wala usiogope Mkuu, itamke tu kwa kiswahili, haitaleta maana hizo ulizoorodhesha..:poa
 
FeLady hongera saana kwa kujaliwa kua Mama,

na hongera saana kawa kukuza Binti,

:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:...HAPPY BIRTHDAY FeLady's Beautiful Daughter....:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:



@Mayasa - Hope you don't Mind Dear...

Asante sana,kuzaa si kazi,kazi kulea.The good newz is in GOD WE TRUST.
 
Haha Da Asha, tuko busy na Fe Lady tunaandaa sherehe ya pamoja pale Kilimanjaro Hotel ya zamani.. Muda si mrefu mtapata mwaliko rasmi.. Steve Dii atakuwepo pia.. yuko busy kidogo ametingwa
Kila kitu kipo bien,naona ukumbi pink na white,B'DAY Girlz wanawakawaka,ni raha iliyoje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom