Happy Birthday Nguruvi3..

371637_100002945256541_1130894154_n.jpg
 
Happy birthday mkuu!!
Mungu akujalie afya njema, neema, upendo, amani na zaidi aendelee kukupa HEKIMA.
 
Happy birthday mkuu!!
Mungu akujalie afya njema, neema, upendo, amani na zaidi aendelee kukupa HEKIMA.

Huyu mzee (Nguruvi3) namkubali sana, pamoja na wazee wengine kwa jinsi wanavyoshusha historia ya nchi yetu kule jukwaa la siasa.

Uwe na maisha marefu Nguruvi3...
 
Happy Birthday Mkuu Nguruvi3 wewe ni kati ya wale magwiji wachache sana ambao nikiona post zao awe amechangia au kuianzisha lazima nitupie macho na kujilimbikizia nondo nondo zako mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye heri na baraka Tele.
 
Sasa mwenyewe yuko wapi jamani? KAtavi kajileta hapa anataka akabdhiwe zawadi za Nguruvi3, zitakua salama kweli? Ukute hata sio birthday yake, ni utapeli wa Katavi tu...
 
Sasa mwenyewe yuko wapi jamani? KAtavi kajileta hapa anataka akabdhiwe zawadi za Nguruvi3, zitakua salama kweli? Ukute hata sio birthday yake, ni utapeli wa Katavi tu...

Ahahahaah!! Mimi sio tapeli, zawadi zote zitamfikia zipo kwenye mikono salama!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom