Recent content by jokapangoni

  1. J

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Naomba unisaidie niijue..Nguruwe sifugi
  2. J

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Sio kwa magonjwa ya mifugo kk..wanapata tiba na chanjo zote
  3. J

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Je Kwa mifugo kama mbwa kuku , ng'ombe,bata kuikinga isife au kupotea?kunayo dawa?
  4. J

    JamiiForums Usiku wa manane

    Karibu KB hapa kibo pamechangamka
  5. J

    FAHAMU: Part Time Jobs zenye Pesa ambazo watu tunashindwa kuzifahamu kwa undani na kukosa taarifa.

    Namba 1 na 3 ni kuzunguka kichaka,malengo ya thread ni no 2.kuna harufu ya utapeli..weka mbali na watoto
  6. J

    Mkopo wa riba nafuu

    Mbona ni kitu rahisi tuu..sema riba yako ni asilimia ngapi tuelewe moja .unafichaficha nini kwani unakopesha uchawi?acha hizo bana
  7. J

    Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    Mkuu ni mbogamboga gani naweza nikalima kwa kutumia maji ya Kisima lakini yana chumvi? joka
  8. J

    Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

    CHAPUTA kwenye ubora wake joka
  9. J

    Hatma ya pombe zenye vifungashio vya plastiki (Viroba)

    Kwangu mm bora vimezuiliwa maana hata afya za waliokua wameathiriwa na matumizi ya viroba zimeimarika tangu kukatazwa kwake...
  10. J

    Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

    Bibi nae yupo insta[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  11. J

    Tembo kaanguka

    Hii ni Tz peke yake haijawah kutokea sehemu nyingine....
  12. J

    Ujuzi Hauzeeki

    Kumbe kuvaa soks ni ujuzi....haya
Back
Top Bottom