Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

Mkuu ni mbogamboga gani naweza nikalima kwa kutumia maji ya Kisima lakini yana chumvi?

joka
Ninachofahamu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba maji ya chumvi unapoyatumia kwenye kilimo inaweza kupelekea kunyonywa maji kwa mmea (dehydration) na inapelekea mmea kusinyaa..

Sidhani kama wewe ungependa kuona hilo ila kwa tikiti maji na mahindi kuna unafuu kidogo katika madhara.

Wataalam wanaweza kusahihisha au kuweka sawa zaidi
 
Mkuu ni mbogamboga gani naweza nikalima kwa kutumia maji ya Kisima lakini yana chumvi?

joka
Lazima hayo maji ya pimwe kwanza ili kupata kiwango cha floraidi iliopo hapo.
ilikujua kama ipo juu kiwango cha kuaribu mmea.
maana hata ukanda wa Arumeru maji asilimia kubwa yana Chumvi ila kiwango chake kipo chini watu wanatumia pia na mazao akuna shida.

pia unaweza fanya utafiti wako kabla yakuleta wataalamu ukachukua mboga mboga tofauti ukapanda na kunyesha.
na kuweka angalau mbolea zinazo weza kupambana na chumvi alafu itakupa jibu ujue cha kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Noelly nashukuru kwa darasa lako zuri. Naomba kujua kama Arusha yanapatikana maharage ya Soya na Kidney beans. Pia kuna jamii ya kunde inaitwa black matpe, sijui kwa kiswahili ni nini. Ni mazao gani mengine ya biashara yanayostawi huko tofauti na maharage?

uku zao labiashara ni mengi.
kama nyanya, nyanya chungu,
kitunguu,
biringanya,
tango.
nakazalika, Soya yapo, ila hayo mengine sijaona saana. ila kunde yoyote Arusha inakubali.
tena kwa drip ndio zaidi sana.

tena kwa drip ndio zaidi sana Karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
54467d068328a25c8f9457efa0a4b755.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Details not

mauRT
 
ndio kama havyo unavyoona katika utaalama wa kisasa kabisa hata ww ukitaka kulima hivi unaweza kabisa uliza maswali upate ushauri karibu sana Mtazania mwenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapo umetumia drop irrigation, je shamba hilo lina ukubwa gani? Je ni sh ngapi kufunga drop irrigation system kwa shamba kama hilo? Chanzo cha maji hapo ni kipi? Ahsante
 
Back
Top Bottom