Mimi ni mdau mmojawapo ambaye mke wangu ametangulia mbele ya haki kama miaka minne iliyopita. Watoto wawili was kike wameolewa amebaki wa kiume. Hata hivyo wangu Sasa ni 56 nimeshindwa kabisa kufanya uamuzi wa kuoa sijui mnanishaurije wana Jf. Naona hali ni mbaya ila kila mwanamke ninayetaka...
Uchumi wa Viwanda unahitaji the Public Wage bill to be less than 40% of overall Annual Budget. However Tanzanian Public Wage bill tunes to 75% - 80% this alarming. Ni kinyume kabisa na Uchumi wa Viwanda apparently the private sector which was only hope in absorbing access employment has totally...
Itakuwaje umfundishe MTU mbinu za hatari kama utengenezaji wa mabomu upiganaji na mbinu nyingine halafu umtumbue bila taratibu na umuache mtaani. Huoni itakuwa hatari kwa usalama wetu? Hii ndicho kigezo kilichofanya Polisi na Wanajeshi wasikaguliwe. Kama ni uzembe ulifanyika huko nyuma na hakuna...
Ninauliza Swali moja LA Msingi Je? Kagame anaweza kuhusika moja kwa moja na Mauaji ya Mchungaji Mtikila? Nakuwa na Mashaka kuwa yaweza kuwa hivyo kutokana na facts alizotoa na kuzisambaza Duniani.
Binadamu wengi wametingwa na mahangaiko na shughuli za kila siku amazo zimefanya wasilisome neno LA Mungu. Imeandikwa na narejea "Watu wangu wanakufa kwa kokosa maarifa" wanakosa maarifa kwa sababu hawalisomi neno LA Mungu. Ni vigumu sana kwa kizazi hiki kusoma Uzi huu ambao ni mrefu kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.