Hivi hii hali ni ya kawaida?

Hivi hii hali ni ya kawaida?

Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na uhakika kabisa kwamba nilishafanya tena vile vile bila kukosea step..
Mfano naweza pita njia flani na kukutana na watu alafu hapo hapo picha inajirudia kichwani kwamba nilishapita hapo na kukutana na watu hao hao.. Hivi hii hali wakuu ni ya kawaida au kuna namna?
Binadam tuko programmed hayo waga hutokea kiakili maana ni mafile huingiliana kichwan
Dunia hii ndogo na mengi yametokea
Ukiona hvyo jua ni either ndoton au kwenye maisha yako ya kawaida hyo instance ishatokea

Bado niko kwenye research ya uhusiano wa ndoto na maisha yetu ya kawaida, nikipata jibu kamili nitatangaza humu
 
Sasa ndo uniumize mwenzako jamani!!! Unajua jinsi nilivyo na moyo mwepesi
My dia nimepita makutano junction(pm) nikakuta umefunga gate/mlango mpenzi wangu kulikoni??[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
My dia nimepita makutano junction(pm) nikakuta umefunga gate/mlango mpenzi wangu kulikoni??[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pako wazi bana
 
Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na uhakika kabisa kwamba nilishafanya tena vile vile bila kukosea step..
Mfano naweza pita njia flani na kukutana na watu alafu hapo hapo picha inajirudia kichwani kwamba nilishapita hapo na kukutana na watu hao hao.. Hivi hii hali wakuu ni ya kawaida au kuna namna?
Duuh tupo wengi kumbe....nilishawahi kwenda mahali ambapo sijawah kufka toka nizaliwe lkn nlipokuwa pale nikahis na kuona kabsa haya mazingira sio mapya,kama nilishayaona kabla.Pia kuna mda unakuta napiga stori na washkaj lkn jinc wanavyonijib na nnavyoongea naona kama ni stor inayojirudia kwani ni kama tulishazungumza kabla lkn kiuhalisia sio
 
"Déjà Vu" is a common intuitive experience that has happened to many of us. The expression is derived from the French, meaning "already seen." When it occurs, it seems to spark our memory of a place we have already been, a person we have already seen, or an act we have already done.
 
Ukiangalia mental disorders kuna tatizo linalojuliana kama schizophrenia ambapo huwa tunagawanya symptoms zake katika makundi matatu;
1.Positive symptoms
-Delusions
-Hallucinations
-combativeness
-Insomnia
2.Negative symtoms
-Asocial behaviour
-Apathy
-Alogia
Anhedonia
-Affective flattening
3.Disorganised symptoms
-disoganised speech
-disorganised behaviour
-poor attention

Hallucinations ambayo ni moja kati ya positive symptoms za schizophrenia is a sensory experience of something that does not exist outside the mind....unaweza ukaona taswira, au ukasikia sauti au ukahisi harufu au hata ukahisi kuguswa na kitu lakini kiuhalisia hakuna taswira wala sauti wala harufu au wala hakuna kitu kilichokugusa.
Sisemi una schizophrenia mkuu ila nimeanzia mbali kidogo ili nifike hapo kwenye hallucinations ambapo naona kidogo kama panarelate na unachokiuliza, sio kila anaepata hallucinations ana schizophrenia,kupata kama mtu ana schizophrenia hutegemea kuangalia na symptoms nyingine na pia zinadumu kwa muda gani na zinamuathiri vipi mhusika katika social life na kikazi.
-
Hujaelewa kabisa hali tunayoiongelea hapa, soma tena post ya mtoa mada
 
Ni kweli hiyo njia ulishawahi kupita miaka 3000 iliyopita leo ndiyo inakurudia kwenye kumbukumbu zako.
 
Nimekuelewa sana Hiyo hali mimi pia huwa inanitokea hata kwa jambo nimelifanya miaka 10 Nyuma!
 
Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na uhakika kabisa kwamba nilishafanya tena vile vile bila kukosea step..
Mfano naweza pita njia flani na kukutana na watu alafu hapo hapo picha inajirudia kichwani kwamba nilishapita hapo na kukutana na watu hao hao.. Hivi hii hali wakuu ni ya kawaida au kuna namna?
Hamna namna yoyote mbona hata hii post ulishawahi I post humu na majibu uliyopata ndio hayahaya, sasa unajifanya hukumbuki au kuna namna?
 
Back
Top Bottom