Recent content by Johnand

  1. Johnand

    Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Daaaaaah! Kifaranga nae anaadhibiwa kwa kosa gani?Hapo akili haikutumika kabisaaa. Hao ni viumbe hai jamani, hata huruma hawakuifeel? Hao ni mashetani. Walikosa hataa akili ya kuvipiga mnada ili vikafugwe wachukue hiyo pesa ikajenge taifaa? Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
  2. Johnand

    Wanawake mabikra tukutane hapa

    Ikikomaa useme tukutaftie wateja ukauze ujengee nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Johnand

    Kwanini Wanaume tusiopenda mpira "kabumbu" tunaonekana washamba?

    Tatizo wa Tanzania wengi hawajui nini maana ya Hobby!
  4. Johnand

    Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    MWANAUME UNAPOAMUA KUPAMBANA HUPASWI KUOGOPA KUFA, KAMA UTATANGULIZA FIKRA ZA KIFO KWAAJILI YA KUSIMAMIA IMANI & MAAMUZI YAKO ILI KUITETEA HAKI YAKO/YA WENGI, NENO ( kujitoa mhanga) AMBALO NDILO HUITETEA HASA JINSIA YAMTU (uwanaume) HALITAKUA JUU YAKO, NAWE UTAUVAA UHALISIA WA JINSIA NYINGINE...
  5. Johnand

    Wadada tusilazimishe ndoa

    Huyo haelewi maana ya kujipanga, atakua amekaririi. Ndoa inahitaji utayari ki fikra na kisaikolojia pia, sio kiuchumi tuu.(marriage is readiness)
  6. Johnand

    Wadada tusilazimishe ndoa

    Tena kujipanga nineno pana sanaa, waweza kua juu kiuchumi ila hujajipanga ki saikolojia na ki akimawazo (utayari) Marriage is readiness.
  7. Johnand

    Gharama za ujenzi wa swimming pool

    Kwawale wa vijijini nibora tuendelee kuwapa mamba campani mtoniii!
  8. Johnand

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Huyo anaedai kua anaheshimiwa sana kwani yeye ni Mw. Kiti clab ya yanga" Mimi ni mwenyekiti clab kubwa sana Africa, clab ya Yanga" sijajua amemaanisha hii yakwetu hapaa tz au vp.
  9. Johnand

    Nikasomee nini kwa matokeo haya?

    Jamaniii, asaidiwe mawazoo, kueni nautambuzi Kwamba watanzania 89% humaliza 4m4 naumri wa 18, alaf 9% miaka 19 na 2% miaka 20, tusikariri kuwa ni wote humaliza na 18.
  10. Johnand

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Asijisifie kuheshimiwa huyoooo! Hakuna binadam asie heshimiwa, Mwehuuu nini kwani ukiwa kaka ndio huwezi kufanya makosaa? Kwani kua clab ya yanga kunahusiana nini?
  11. Johnand

    Hii ndo hali halisi leo Arusha

    Hakuna jambo la msingi kama hili wa2 wa Kilimanjaro tunacho kifanya. Misba/ zarura/harusi nk tunaendaga but sio familia mzima ila Hizi taree nilazma tuondoke familia mzima tukawaone wazaz + wababu/ bibi pamoja na kufahamiana na kushauriana kifamiliaa
  12. Johnand

    Hii ndo hali halisi leo Arusha

    Tatzo mnaenda kwenu bila bajet wala malengo!
  13. Johnand

    Ni wenye maono ya karibu tu ndio hawajui anapotupeleka Mh. Rais

    Kisomi, (critical thinkers) hawait Miyazaki ya watu wazima wenzio Finyu, Hafifuu, mfuu, au hoja kibubusa, Bali husema Kwamtazamo wangu__,___,__ au Binafsi nakinzana kdogo na mitazamo ya wanao amini kua___,__ ,_____. Kwani nimitazamotuu, hunauhakika 100% na uliwazalo.
  14. Johnand

    Utafiti: Wanawake wafupi wenye mwili mdogo

    Irrational thinking!
Back
Top Bottom