Nikasomee nini kwa matokeo haya?

Benfamous

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
484
375
Nimesoma art na nimepata 4 ya 28 yaan
Eng c
Kiswah c
Geog d
Hist d
Civ f
Math f
Na bios d
Nikasomee nn ili nihikomboee au niende chuo gani ili nifanikiwe msaada tafadhaliiii
 
Nimesoma art na nimepata 4 ya 28 yaan
Eng c
Kiswah c
Geog d
Hist d
Civ f
Math f
Na bios d
Nikasomee nn ili nihikomboee au niende chuo gani ili nifanikiwe msaada tafadhaliiii
Nenda straight kasome Bachelor UDOM au IFM
 
Ndoto zako ni kufanya kipi?hapo ndipo ushauri unapaswa kuanzia vinginevo utapotea maana swali lako lipo Generally sana so linampa mtu kukupa ushaur wowote hata ambao unaweza kukufanya uhisi kakudhalau though wapo ambao kweli watakudhalau kwa matokeo yako!
Me napenda kuwa mfanya biashara
 
Jamaniii, asaidiwe mawazoo, kueni nautambuzi Kwamba watanzania 89% humaliza 4m4 naumri wa 18, alaf 9% miaka 19 na 2% miaka 20, tusikariri kuwa ni wote humaliza na 18.
Kumaliza Kawaida ni miaka 17.
Ila nimeuliza kwann kamaliza na 19yrs nikajua kumbe alirisit. Huoni sasa tumejua tumsaidieje
 
Back
Top Bottom