Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

Mchuma janga hula na wakwao! Na tutakula wote tu, hamna ujanja.
Sasa kwakuwa umechokoza li dege lililotulia, sasa na wewe utulie tuli usikie sauti yake.

George H.W Bush anahusikaje na Acacia?

Nov.27,2014 Cecilia Jamasmie anaandika ,'African Barrick imebaki historia, imebadili jina kuwa Acacia mining.'
Moja kati ya malengo yake ilikuwa kuendeleza kazi zake North Mara na kuzalisha ounce 450,000 ndani ya miaka mitano kwa gharama ya chini ya dola 750 kwa ounce.

Jan.03,1997 Anton Chaitkin anaandika Inside story juu ya genge la Bush na Barrick Gold Corporation. Anasema;
☆ Barrick Gold ni shirika linalojihusisha na mikakati ya siri katika siasa za George H W Bush.
☆ Shirika hili lenye makao yake Canada ndio biashara pekee ya Bush iliyofahamika wakati huo.
☆ Shirika hili lilianzishwa na marafiki wa kisiasa wa Bush, Wawezeshaji wakubwa wa biashara za madawa ya kulevya, wafanyabiashara haramu wa silaha na watakatishaji wa fedha.
☆ Shirika ni kubwa, liko USA, Canada, South America: Argentina, Chile, Peru, Bolivia na Brazil. Lipo pia Africa.

Majina makubwa kwenye shirika ni ya kina nani?

1. George Herbert Walker Bush
♨Baba yake alikuwa partner kwenye taasisi binafsi kubwa na yenye nguvu, ya kibenki - Brown Brothers Harriman.
♨Bush alikuwa makamu wa rais na chief kwenye operations za siri katika utawala wa Reagan (1981-89).
♨Bush alikuwa rais wa Marekani (1989-93).
♨Bush alikuwa chief lobbyist wa Barrick, mwanahisa na mshauri mkubwa wa heshima wa bodi ya kimataifa ya washauri wa Barrick.

2. Adnan Khashogi.
♨ Billionea wa saudi na mfanyabiashara haramu ya silaha .
♨Muanzilishi wa Barrick Gold Corp.
♨Maarufu sana kwa biashara yake haramu ya kuiuzia Iran silaha.

3. Peter Munk na 4. Brian Mulroney ; hawa ntawaacha kwa sasa.

Hili ni janga kwasababu kwao Magufuli hatoshi hata kwa breakfast;
Angalia hapa chini!

$ Uwekezaji mkubwa katika shirika ulifanywa na Khashogi na mapartner wake katika biashara haramu ya silaha. Wakati huo wakihangaika na biashara iliyojulikana kama 'guns and cocaine triangle' kati ya Iran - Israeli - na Nicaragua. 1986 biashara hii ilikuja kubumburuka na ikawa maarufu kama 'Iran - contra' scandal.

$ Bush na yeye aliingia kwenye shirika kwa staili yake. Mwaka 1986-87 Barrick Gold Corp ilinunua ardhi, mali ya serikali ya Marekani, yenye thamani ya zaidi ya dola billion 10 kwa dola million 63 tu, kwaajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Hapa ni USA ukumbuke, na sio mandazi republic kama hii yakwetu.
Bush alipochaguliwa 1988 akawezesha utaratibu wa kupata hati miliki kwa ajili ya eneo hili.Utaratibu huu ulikuwa special kwaajili ya Barrick tu!

♀Bush alishirikiana bega kwa bega na CIA na FBI katika kujaribu kupindua Serikali ya Fidel Castro katika uvamizi uliopewa jina maarufu kama Bay of Pigs invasion.
Walitumia mgongo wa kampuni ya Zapata Oil Bush akiwa kama rais wa kampuni na baadae Zapata Offshore Bush akiwa kama mmiliki.
Hapa kuna Memo kibao za ushahidi.

Nov.22, 1963 Bush alishiriki katika mauaji ya J.F.Kennedy, rais wa Marekani wakati huo kwasababu tu alikataza ndege za Marekani kutumika kwenye Bay of Pigs invasion. Kennedy pia alistopisha rogue operations zote za CIA na FBI .

Bush amefanya maovu mengi mno! Ana links na shetani wa kila aina;
☞ wa Nazi.
☞ wafanyabiashara ya madawa ya kulevya.
☞ Wafanyabiashara haramu ya silaha.
☞ Wauaji - assassins
☞ CIA
☞ FBI
☞ Na taasisi nyingi za kijeshi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Bush hajazaliwa hapo chini ya mfereji kwamba unaweza kumtumbua hata ukiwa grocery!

Kwenye moja ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, siku moja baada ya Bush kuhutubia, Marehemu Hugo Chavez, Mungu ailaze roho yake mahali pema, Anasema, “ Shetani alikuja hapa jana, na mpaka leo hii, hii meza niliposimama inanuka sulfur.” Kisha Chavez akapiga ishara ya msalaba halafu akaangalia juu akiweka mikono yake kama mtu anayesali kumuomba Mungu.

Mdau unajua kwanini Chavez aliongelea harufu ya sulfur?

Mkuu punguza woga! Hata kama ipo kama unavyoamini, ila jifunze kuwa na maamuzi magumu! Au ulitaka iwe ivyo mpaka lini sasa? Mi nilihisi akina Mangungo walishaisha kumbe wamebaki kibao!!!
 
Acha kutupandikiza roho ya uoga.....tumechoka kunyonywa,
Kama Mh Raisi anauhakika na uhalisia wa ripoti ya tume tumpe baraka zetu na tumuombee ili tuweze kushinda ktk hili.
 
Maulo
Panga makalikuwili
Temu Jr
Mr Miller
Na wengine woote wanaodhani mimi ni muoga au labda naogopesha watu;
Sio kweli, mimi nimetoa intel za Dude tuliloamsha . Ningefurahi kama baada ya kupata hizo intel mngekuja na mkakati unaoreflect aina ya adui tuliyenae .
Chakushangaza nyie mkakati wenu nikusema mko nyuma ya Magufuli na mnamuombea. Mkakati wa hovyo kabisa kuwahi kuuona.

Sawa, tufanye mie muoga.
Nyie nendeni kampitieni Magu pale magogoni mkapambane. Mkirudi mtanikuta, msiporudi INSHALLAH !
 
Mchuma janga hula na wakwao! Na tutakula wote tu, hamna ujanja.
Sasa kwakuwa umechokoza li dege lililotulia, sasa na wewe utulie tuli usikie sauti yake.

George H.W Bush anahusikaje na Acacia?

Nov.27,2014 Cecilia Jamasmie anaandika ,'African Barrick imebaki historia, imebadili jina kuwa Acacia mining.'
Moja kati ya malengo yake ilikuwa kuendeleza kazi zake North Mara na kuzalisha ounce 450,000 ndani ya miaka mitano kwa gharama ya chini ya dola 750 kwa ounce.

Jan.03,1997 Anton Chaitkin anaandika Inside story juu ya genge la Bush na Barrick Gold Corporation. Anasema;
☆ Barrick Gold ni shirika linalojihusisha na mikakati ya siri katika siasa za George H W Bush.
☆ Shirika hili lenye makao yake Canada ndio biashara pekee ya Bush iliyofahamika wakati huo.
☆ Shirika hili lilianzishwa na marafiki wa kisiasa wa Bush, Wawezeshaji wakubwa wa biashara za madawa ya kulevya, wafanyabiashara haramu wa silaha na watakatishaji wa fedha.
☆ Shirika ni kubwa, liko USA, Canada, South America: Argentina, Chile, Peru, Bolivia na Brazil. Lipo pia Africa.

Majina makubwa kwenye shirika ni ya kina nani?

1. George Herbert Walker Bush
Baba yake alikuwa partner kwenye taasisi binafsi kubwa na yenye nguvu, ya kibenki - Brown Brothers Harriman.
Bush alikuwa makamu wa rais na chief kwenye operations za siri katika utawala wa Reagan (1981-89).
Bush alikuwa rais wa Marekani (1989-93).
Bush alikuwa chief lobbyist wa Barrick, mwanahisa na mshauri mkubwa wa heshima wa bodi ya kimataifa ya washauri wa Barrick.

2. Adnan Khashogi.
Billionea wa saudi na mfanyabiashara haramu ya silaha .
Muanzilishi wa Barrick Gold Corp.
Maarufu sana kwa biashara yake haramu ya kuiuzia Iran silaha.

3. Peter Munk na 4. Brian Mulroney ; hawa ntawaacha kwa sasa.

Hili ni janga kwasababu kwao Magufuli hatoshi hata kwa breakfast;
Angalia hapa chini!

$ Uwekezaji mkubwa katika shirika ulifanywa na Khashogi na mapartner wake katika biashara haramu ya silaha. Wakati huo wakihangaika na biashara iliyojulikana kama 'guns and cocaine triangle' kati ya Iran - Israeli - na Nicaragua. 1986 biashara hii ilikuja kubumburuka na ikawa maarufu kama 'Iran - contra' scandal.

$ Bush na yeye aliingia kwenye shirika kwa staili yake. Mwaka 1986-87 Barrick Gold Corp ilinunua ardhi, mali ya serikali ya Marekani, yenye thamani ya zaidi ya dola billion 10 kwa dola million 63 tu, kwaajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Hapa ni USA ukumbuke, na sio mandazi republic kama hii yakwetu.
Bush alipochaguliwa 1988 akawezesha utaratibu wa kupata hati miliki kwa ajili ya eneo hili.Utaratibu huu ulikuwa special kwaajili ya Barrick tu!

♀Bush alishirikiana bega kwa bega na CIA na FBI katika kujaribu kupindua Serikali ya Fidel Castro katika uvamizi uliopewa jina maarufu kama Bay of Pigs invasion.
Walitumia mgongo wa kampuni ya Zapata Oil Bush akiwa kama rais wa kampuni na baadae Zapata Offshore Bush akiwa kama mmiliki.
Hapa kuna Memo kibao za ushahidi.

Nov.22, 1963 Bush alishiriki katika mauaji ya J.F.Kennedy, rais wa Marekani wakati huo kwasababu tu alikataza ndege za Marekani kutumika kwenye Bay of Pigs invasion. Kennedy pia alistopisha rogue operations zote za CIA na FBI .

Bush amefanya maovu mengi mno! Ana links na shetani wa kila aina;
☞ wa Nazi.
☞ wafanyabiashara ya madawa ya kulevya.
☞ Wafanyabiashara haramu ya silaha.
☞ Wauaji - assassins
☞ CIA
☞ FBI
☞ Na taasisi nyingi za kijeshi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Bush hajazaliwa hapo chini ya mfereji kwamba unaweza kumtumbua hata ukiwa grocery!

Kwenye moja ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, siku moja baada ya Bush kuhutubia, Marehemu Hugo Chavez, Mungu ailaze roho yake mahali pema, Anasema, “ Shetani alikuja hapa jana, na mpaka leo hii, hii meza niliposimama inanuka sulfur.” Kisha Chavez akapiga ishara ya msalaba halafu akaangalia juu akiweka mikono yake kama mtu anayesali kumuomba Mungu.

Mdau unajua kwanini Chavez aliongelea harufu ya sulfur?
MWANAUME UNAPOAMUA KUPAMBANA HUPASWI KUOGOPA KUFA, KAMA UTATANGULIZA FIKRA ZA KIFO KWAAJILI YA KUSIMAMIA IMANI & MAAMUZI YAKO ILI KUITETEA HAKI YAKO/YA WENGI, NENO ( kujitoa mhanga) AMBALO NDILO HUITETEA HASA JINSIA YAMTU (uwanaume) HALITAKUA JUU YAKO, NAWE UTAUVAA UHALISIA WA JINSIA NYINGINE KIMAAMUZ.
MWANAUME HALISI HUUSIMAMIA MSIMAMO (uwanaume)WAKE, HASA PALE AONAPO UNAMPELEKA KUIPIGANIA HAKI.
MWANAUME HALISI HUFUNIKWA NA UJASIRI PALE ANAPO JITAMBUA KWANI HUAMINI KIFO KIPO TUU HATA UKAJIFICHA CHUMBANI (uvunguni), ZIKITIMIA UTAONDOKA TUUUU.
Ndomana Hitler hakujifcha, Huyo Nyerere hakujifcha, Mandela hakujifcha, Sokoine hakujifcha, nawengine wengi.
 
Hongera kwakuwa mwanaume halisi hapa jf na nyuma ya keyboard !
 
Siku zilizopita ulishawahi kusema "uoga ndio unaorudisha nyuma maendeleo ya taifa na kumnukuu Mwalimu Nyerere kuwa tunahitaji vijana wenye uthubutu na wasiokuwa waoga" lakini leo hii unaleta post ya uoga!...kwani nani hatakufa?..ukifa fisadi na ukifa unapigania maslahi ya taifa lako kipi ni bora kwako?...hujiulizi kwanini Batista si mtu anayeheshimika kama ilivyo Fidel japokuwa wote walikuwa marais,...post yako ingekuwa na maana kama ingetoa tahadhari na kuonesha way foward,sio hii iliyojaa UOGA,UNAFIKI NA KUKATISHA TAMAA!
Wewe hukunielewa wakati naongelea ujasiri kwa vijana.
Kama ni suala la kuitoa CCM madarakani ,hilo vijana wanaweza ila sio suala la kupambana na mafia wa kimataifa wenye mikataba kisheria , hapa tutakula majani seriously.

Wewe sema tumfuate Mkapa na Kikwete tukawahoji pale uwanja wa taifa uone kama sijawa wakwanza maana najua hili tunalimudu!
Ila kwa kina Bush nendeni wenyewe, mimi ntawaombea .
 
MWANAUME UNAPOAMUA KUPAMBANA HUPASWI KUOGOPA KUFA, KAMA UTATANGULIZA FIKRA ZA KIFO KWAAJILI YA KUSIMAMIA IMANI & MAAMUZI YAKO ILI KUITETEA HAKI YAKO/YA WENGI, NENO ( kujitoa mhanga) AMBALO NDILO HUITETEA HASA JINSIA YAMTU (uwanaume) HALITAKUA JUU YAKO, NAWE UTAUVAA UHALISIA WA JINSIA NYINGINE KIMAAMUZ.
MWANAUME HALISI HUUSIMAMIA MSIMAMO (uwanaume)WAKE, HASA PALE AONAPO UNAMPELEKA KUIPIGANIA HAKI.
MWANAUME HALISI HUFUNIKWA NA UJASIRI PALE ANAPO JITAMBUA KWANI HUAMINI KIFO KIPO TUU HATA UKAJIFICHA CHUMBANI (uvunguni), ZIKITIMIA UTAONDOKA TUUUU.
Ndomana Hitler hakujifcha, Huyo Nyerere hakujifcha, Mandela hakujifcha, Sokoine hakujifcha, nawengine wengi.
JPM na ccm ya kina polepole ndiyo wameamua kupambana? kwenye hili kama ni mapambano bado hayajaanza.Mungu awasaidie washinde mapambano yao kwa maslahi ya Taifa,kwa mwanzo huu,kushindwa kwao ni rahisi kuliko kushinda,na kushindwa kwao ni msiba kwetu,kwasababu hatujui wanachofikiria kwa niaba yetu hatuna namna zaidi ya kuwaombea Mungu.
 
Ukiona mtu anakurupuka na panga kupambana na mtu mwenye bunduki ,mchezo ambao hata Diamond alisema hatafanya, basi ujue kuna kitu.
Mimi nahisi treasury iko nyeupe na Magu kashagundua ngoma haitaenda hata achonge viazi .
Sasa anaanzisha issue ambayo kimsingi mwisho ni mbovu na anajua ili aje apate sababu kama za Bashite .

Mheshimiwa rais , mbona watumishi wa serikali hawapati mishahara ?
Jibu : Acacia!

Mheshimiwa rais, serikali ya viwanda ikowapi ?
Jibu : Acacia!

Yani ni suala la muda tu !
Jibu kwa kero zote kutoka serikalini litakuwa ni Acacia !
 
Jibu kwa kero zote kutoka serikalini litakuwa ni Acacia

Na Acacia watatukomesha , hili angalau nina uhakika nalo. Tufuatilie tu sarakasi ila sio mbali mnene ataangusha taulo.
 
Wewe hukunielewa wakati naongelea ujasiri kwa vijana.
Kama ni suala la kuitoa CCM madarakani ,hilo vijana wanaweza ila sio suala la kupambana na mafia wa kimataifa wenye mikataba kisheria , hapa tutakula majani seriously.

Wewe sema tumfuate Mkapa na Kikwete tukawahoji pale uwanja wa taifa uone kama sijawa wakwanza maana najua hili tunalimudu!
Ila kwa kina Bush nendeni wenyewe, mimi ntawaombea .
Bado hujaondoa nadharia kuwa wewe ni muoga!
 
Ukiona mtu anakurupuka na panga kupambana na mtu mwenye bunduki ,mchezo ambao hata Diamond alisema hatafanya, basi ujue kuna kitu.
Mimi nahisi treasury iko nyeupe na Magu kashagundua ngoma haitaenda hata achonge viazi .
Sasa anaanzisha issue ambayo kimsingi mwisho ni mbovu na anajua ili aje apate sababu kama za Bashite .

Mheshimiwa rais , mbona watumishi wa serikali hawapati mishahara ?
Jibu : Acacia!

Mheshimiwa rais, serikali ya viwanda ikowapi ?
Jibu : Acacia!

Yani ni suala la muda tu !
Jibu kwa kero zote kutoka serikalini litakuwa ni Acacia

Na Acacia watatukomesha , hili angalau nina uhakika nalo. Tufuatilie tu sarakasi ila sio mbali mnene ataangusha taulo.

Kama yule mwingine ambaye kila anacho boronga anasema vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama,
sasa sijui ilikuwa vita ya madawa ya kulevya au upuuzi,sijui,kama ilikuwa vita ya madawa ya kulevya imeacha impact gani mpaka leo,nini mafanikio ya mbwembwee zote zile,?ndo maana nasema kwa sababu wao ndiyo wenye dhamana waache wajifyatue.Mkuu wa mkoa anaenda kusimamisha uzalishaji,sikuona kama lilikuwa ni azimio la kamati,ndo maana nasema ndokwaanza asubuhi
 
Mchuma janga hula na wakwao! Na tutakula wote tu, hamna ujanja.
Sasa kwakuwa umechokoza li dege lililotulia, sasa na wewe utulie tuli usikie sauti yake.

George H.W Bush anahusikaje na Acacia?

Nov.27,2014 Cecilia Jamasmie anaandika ,'African Barrick imebaki historia, imebadili jina kuwa Acacia mining.'
Moja kati ya malengo yake ilikuwa kuendeleza kazi zake North Mara na kuzalisha ounce 450,000 ndani ya miaka mitano kwa gharama ya chini ya dola 750 kwa ounce.

Jan.03,1997 Anton Chaitkin anaandika Inside story juu ya genge la Bush na Barrick Gold Corporation. Anasema;
☆ Barrick Gold ni shirika linalojihusisha na mikakati ya siri katika siasa za George H W Bush.
☆ Shirika hili lenye makao yake Canada ndio biashara pekee ya Bush iliyofahamika wakati huo.
☆ Shirika hili lilianzishwa na marafiki wa kisiasa wa Bush, Wawezeshaji wakubwa wa biashara za madawa ya kulevya, wafanyabiashara haramu wa silaha na watakatishaji wa fedha.
☆ Shirika ni kubwa, liko USA, Canada, South America: Argentina, Chile, Peru, Bolivia na Brazil. Lipo pia Africa.

Majina makubwa kwenye shirika ni ya kina nani?

1. George Herbert Walker Bush
Baba yake alikuwa partner kwenye taasisi binafsi kubwa na yenye nguvu, ya kibenki - Brown Brothers Harriman.
Bush alikuwa makamu wa rais na chief kwenye operations za siri katika utawala wa Reagan (1981-89).
Bush alikuwa rais wa Marekani (1989-93).
Bush alikuwa chief lobbyist wa Barrick, mwanahisa na mshauri mkubwa wa heshima wa bodi ya kimataifa ya washauri wa Barrick.

2. Adnan Khashogi.
Billionea wa saudi na mfanyabiashara haramu ya silaha .
Muanzilishi wa Barrick Gold Corp.
Maarufu sana kwa biashara yake haramu ya kuiuzia Iran silaha.

3. Peter Munk na 4. Brian Mulroney ; hawa ntawaacha kwa sasa.

Hili ni janga kwasababu kwao Magufuli hatoshi hata kwa breakfast;
Angalia hapa chini!

$ Uwekezaji mkubwa katika shirika ulifanywa na Khashogi na mapartner wake katika biashara haramu ya silaha. Wakati huo wakihangaika na biashara iliyojulikana kama 'guns and cocaine triangle' kati ya Iran - Israeli - na Nicaragua. 1986 biashara hii ilikuja kubumburuka na ikawa maarufu kama 'Iran - contra' scandal.

$ Bush na yeye aliingia kwenye shirika kwa staili yake. Mwaka 1986-87 Barrick Gold Corp ilinunua ardhi, mali ya serikali ya Marekani, yenye thamani ya zaidi ya dola billion 10 kwa dola million 63 tu, kwaajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Hapa ni USA ukumbuke, na sio mandazi republic kama hii yakwetu.
Bush alipochaguliwa 1988 akawezesha utaratibu wa kupata hati miliki kwa ajili ya eneo hili.Utaratibu huu ulikuwa special kwaajili ya Barrick tu!

♀Bush alishirikiana bega kwa bega na CIA na FBI katika kujaribu kupindua Serikali ya Fidel Castro katika uvamizi uliopewa jina maarufu kama Bay of Pigs invasion.
Walitumia mgongo wa kampuni ya Zapata Oil Bush akiwa kama rais wa kampuni na baadae Zapata Offshore Bush akiwa kama mmiliki.
Hapa kuna Memo kibao za ushahidi.

Nov.22, 1963 Bush alishiriki katika mauaji ya J.F.Kennedy, rais wa Marekani wakati huo kwasababu tu alikataza ndege za Marekani kutumika kwenye Bay of Pigs invasion. Kennedy pia alistopisha rogue operations zote za CIA na FBI .

Bush amefanya maovu mengi mno! Ana links na shetani wa kila aina;
☞ wa Nazi.
☞ wafanyabiashara ya madawa ya kulevya.
☞ Wafanyabiashara haramu ya silaha.
☞ Wauaji - assassins
☞ CIA
☞ FBI
☞ Na taasisi nyingi za kijeshi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Bush hajazaliwa hapo chini ya mfereji kwamba unaweza kumtumbua hata ukiwa grocery!

Kwenye moja ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, siku moja baada ya Bush kuhutubia, Marehemu Hugo Chavez, Mungu ailaze roho yake mahali pema, Anasema, “ Shetani alikuja hapa jana, na mpaka leo hii, hii meza niliposimama inanuka sulfur.” Kisha Chavez akapiga ishara ya msalaba halafu akaangalia juu akiweka mikono yake kama mtu anayesali kumuomba Mungu.

Mdau unajua kwanini Chavez aliongelea harufu ya sulfur?
Mkuu, malizia bandiko lako basi! Malizia dude uliloamsha
 
Kweli bangi inabangua watu...usikute mtoa mada hata hajuwi nini wajibu wa CIA wala FBI....tuna changamoto kubwa sana huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom