Recent content by John_Bravo

  1. John_Bravo

    Tanzania kupokea Chanjo ya Ukimwi Mwakani 2026

    Hii dawa inafanya kazi kwa watu wawili mkuu,kwa mwathirika na mtu ambaye sio mwathirika wa HIV. Kwa mwathirika itachukua nafasi ya zile dawa za ARV,uzuri wa hizi Lenacapavir mgonjwa atakiwa kupata sindano kila baada ya miezi sita tu,mgonjwa hatakuwa na haja tena ya kunywa vidonge kila siku pia...
  2. John_Bravo

    Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

    Start to Hit the Gym Brother
  3. John_Bravo

    Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

    Inaitwa Gambling Addiction.ni Uraibu kama uraibu mwingine wala haiusiani na pepo.Hatua ya kwanza ni kukubali kwamba ana addiction ambayo ni ugonjwa wa akili then atafute proffesional help.
  4. John_Bravo

    Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Ugonjwa wa akili ni janga kubwa sana kwenye hii jamii yetu..
  5. John_Bravo

    Simu gani ina kamera bora kwa bei nafuu?

    Sony xperia xz3 Bei 200,000/Tsh up to 250,000/=Tsh.
  6. John_Bravo

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Brother kama hutojari ni PM number yako nikurushie japo kiasi kidogo kwaajili ya Bundle. Ahsante sana kwa hii simulizi. Sent from my H8416 using JamiiForums mobile app
  7. John_Bravo

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Aiseee pole kwa hayo unayopitia mkuu ila ningependa kufahamu, je watoto wote hamjapewa hata senti au ni wewe tu pekee haujapata pesa??
  8. John_Bravo

    Dodoma: Polisi wadaiwa kumdhalilisha dereva bodaboda, wamtoboa utumbo

    Kuna baadhi ya watu kwenye Dunia hii wapo hai kwasababu tu kuwaua ni kuvunja sheria. Hao waliofanya hicho kitendo hawastaili kuishi[emoji35][emoji35].
  9. John_Bravo

    Usaliti wenye ulazima

    Mara nyingi mtu akinibeza kisa natumia FB huwa namuona mpuuzi, limbukeni na immature sana..
  10. John_Bravo

    Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Duhhh!!! Ubaguzi bado ni kansa kubwa inayosumbua Dunia.
  11. John_Bravo

    The science of immortality: Sayansi ya kurefusha maisha

    Ahsante mkuu kwa nakala nzuri kabisa ..The future is very interesting..
  12. John_Bravo

    Huyu msichana vipi?

    This is completely Show off..
  13. John_Bravo

    Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

    Dada epukana na vitu vidogo ambavyo unaweza KUACHIKA KIMASIHARA.[emoji3][emoji2].
Back
Top Bottom