Huyu msichana vipi?

Huyu msichana vipi?

Hivi wasichana wanakuwaga na ushamba gani wa magari hasa?

Huwa sielewi unashobokaje kea mtu kisa gari? Like kupakiwa tu ndo roho ikutoke?

Anyway, labda ndo usichana. Women are not like that.
 
Siku hizi vijana wanakuwa wajinga sijui ni kwann?!
Tu anaweza andika uzi eti utaskia, "wakuu, nipo home hapa nimeingia bafuni na taulo nifanyaje?!"
 
Ngoja niendelee kukomaa na vitabu vyangu vya wealth of magic na rich dad poor dad labda na mimi ndamiliki hata subaru, bana Jf tupeni location nasi tusukume ndinga
Location si showroom mkuu?
 
Hio gari ni namba DUK au DUL?😂😂😂😂
 
Mimi nimeelewa tu kwamba umenunua gari lako la kwanza. Na hiyo ni kawaida ukinunua gari kwa mara ya kwanza utataka tu kila mtu ajue umenunua gari. So usijari tuko pamoja!
 
Hiyo Gari ndio inamuwasha
Nenda kamuachie na yeye Aoshe Nyota.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom