Recent content by John the babtist

  1. J

    JamiiForums Tanzania Research, dissertation na semester projects.

    sio elimu ya bongo, but mwanafunzi anastahili kua smart. own your research dont let the supervisor own it. Achieve this by showing the uniqueness of your project interms of the research design
  2. J

    JamiiForums Tanzania UDSM Masters degree admission 17/18

    nimeupenda mtazamo wako, wengi wanaweza wasikuelewe ila wataelewa wakiwa kwa system which will be too late
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    ccm mwaka huu! jumapili wote chooni naona ushakunaku unawazidi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada anataka kutoroka kazini aende masomoni

    Waoga nyie maisha ni maamuzi binafsi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    haya mageuzi kwenye polisi ni yapi au mambo kimya kimya
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

    Wewe achana na kenya fikiria tz yenye bandari tatu sijui nne ila bado tunategemea bandari ya mombasa
  7. J

    JamiiForums Tanzania KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    FBI watalichunguza na hili msijali watz wenzangu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Huwezi Amini Kwamba Hawa Nao ni Wasomi wa UDSM Wanasaka Degree

    Every succesful man has a painful story to narrate
  9. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Nani atakuwa rais mpya

    Maöni yangu tusubiri jumanne tutajua
  10. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kenya yatangazwa (KCSE) linganisha na Tanzania (CSEE)

    Then kwa wanaobishana cse =kcse in the sense that A+, A, A- za kenya ni sawa na A ya Tz.B+, B,B- ya kenya ni sawa na B ya tz.C+ C, C-, D+ ni sawa na C ya tz then D, D- ni sawa na D ya tz . E ya kenya ni sawa na f ya tz. Mkenya cant join a tz hadi asome a level but mbongo aliyewastan wa zaidi ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kenya yatangazwa (KCSE) linganisha na Tanzania (CSEE)

    Wewe watu wanasoma kule acha huku tunatafuta C tatu.elimu ina wadau wengi wanaotekeleza their professional duties sio ushemeji
  12. J

    JamiiForums Tanzania Vision 2030

    Jaman wanabodi nielezen vision 2030 ya tanzania ipo au haipo na kama ipo imebase kwenye issue zipi, zipi zimeanza zilizokamilika na zinazoendelea
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Maswa kunakalika au

    haya mkuu shukran kwa ukarimu na nauli ni kama ngapi toka shinyanga town coz niliambiwa hio ndio njia
Back
Top Bottom