Matokeo ya Kenya yatangazwa (KCSE) linganisha na Tanzania (CSEE)

Tukiweka hapa mtihani wa Physics wa KCSE na Physics ya CSEE ndio utanielewa na maaanisha nini, We endelea tu kujidharau.

Mtihani wa Physics wa KCSE umegawanyika hivi:

Physics examination tests the candidates' competence in understanding of the physical concepts and their applications in the world around them. As in the previous years this year's examination consisted of three papers:

Paper 1: Theory paper - about 32 compulsory short answer questions from all areas of the syllabus.

Paper 2: Theory paper - about 5 structured questions and one semi-structured question.

Paper 3; A practical paper tests practical skills in areas of electricity, optics and mechanics.

Chanzo:PHYSICS PAST PAPERS

Haya lete mgawanyo wa CSE sasa.
 
Ninamini kuwa ni bora kuwa na wawekezaji kutoka kenya na Burundi kuliko wale wa Uingerza, na pia ni rahisi kwa Bilionea wa Burundi aliyewekeza Tz kuhamua kusihi Tanzania pamoja na mali zake kuliko yule wa Uingereza. Kwakuwa pia ushindani katika mataifa haya ya EA yameegemea zaidi kwenye utaifa wa kila taifa husika, basi njia moja wapo ya kupigana na mfumo mbaya wa elimu yetu ni kulifanya suala la elimu kuwa la Jumuiya. Hili litawalazimisha watawala kuwajibika na kujitizama kuliko ilivyo hivi sasa, na matokeo yake wenyewe mnaweza kuyafanyia "prediction". Hii ingeleta changamoto kubwa sana kwa watawala wote wa nchi z eneo hili.
 
Then kwa wanaobishana cse =kcse in the sense that A+, A, A- za kenya ni sawa na A ya Tz.B+, B,B- ya kenya ni sawa na B ya tz.C+ C, C-, D+ ni sawa na C ya tz then D, D- ni sawa na D ya tz . E ya kenya ni sawa na f ya tz. Mkenya cant join a tz hadi asome a level but mbongo aliyewastan wa zaidi ya C kwenye masomo yote can enroll to a university in kenya
 
Then kwa wanaobishana cse =kcse in the sense that A+, A, A- za kenya ni sawa na A ya Tz.B+, B,B- ya kenya ni sawa na B ya tz.C+ C, C-, D+ ni sawa na C ya tz then D, D- ni sawa na D ya tz . E ya kenya ni sawa na f ya tz. Mkenya cant join a tz hadi asome a level but mbongo aliyewastan wa zaidi ya C kwenye masomo yote can enroll to a university in kenya

it's C+ and above that one needs to have to join a Kenyan university. it's the cluster points average that determine which course one is eligible to do.
 
Lakini kama umesema wanaume wamefaulu kwa 55% inamaana waliofeli ni 45%. similarly kwa wanawake waliofeli ni 55%. Nadhani hatuchekani sanaaaa ni mulemule tu..
 
Ndiyo maana wakijenga reli sisi tunajenga mfereji. Wakijenga highway, sisi tunajenga vichochoro. Kisa? Elimu ndogo!

tatizo sio elimu ndogo. elimu yaweza kuwa sawa lakin tatizo linaweza kuwa ubunifu mdogo, mipango mibovu, uadilifu mdogo, uzembe mwingi, kutokuwajibika, utaifa mdogo etc. husikii? wakati tunapata uhuru hali yetu haikuwa tofauti sana malaysia etc. leo hii hatuwakaribii. tukitaka kusogea kama taifa tunahitaji zaid ya elimu bora. angalia nigeria. ni kweli e
 
Au sijaelewa, manake wala sioni chochote cha maana hapo....sana sana, ni yale ya penye chongo, kengeza mfalme!! Wavulana 55% wamefaulu, manake 45 wamefeli; na wasichana 45 wamefaulu, means 55% wamefeli----aggregate, 50% ya wanafunzi wamefeli!
 
Hayo matokeo ni ya kisiasa zaidi la yamelenga kutokuchafua hali ya hewa kipindi hiki cha uchaguzi.uwe mbunifu na mfuatiliaji wa mambo hebu wamletee ndalichako ayasahihishe upya uone shuguli ya jeshi

Unaota siasa zako za ccm. Huko Kenya hakuna tena siasa kwa maswala muhimu baada ya katiba mpya. Hata rais hana mamlaka kwa mambo ya kisheria. hakuna longolongo huko tena.
Shule nyingi kati ya shule 100 za kenya zilizofanya vizuri ni shule za serikali. Ya kwanza ni ya private. Ya pili ni ya serikali. Mwanafunzi namba moja Tony Edgar Ameo ametoka shule ya Maseno iliyoko kisumu, shule ya serikali. Wa pili katoka shule ya Maranda iliyoko Bondo county ya Siaya, shule ya serikali.
Yaani kwa kifupi shule zinazoheshimika huko Kenya na ambazo watu wanazipigania ni za serikali tofauti na kwetu hapa ambako viongozi wa elimu wanajenga shule za private, wanaua shule za serikali ili wenye pesa wapeleke watoto kwenye shule zao. TANZANIA IS A BIG JOKE.
 
unaota siasa zako za ccm. Huko kenya hakuna tena siasa kwa maswala muhimu baada ya katiba mpya. Hata rais hana mamlaka kwa mambo ya kisheria. Hakuna longolongo huko tena.
Shule nyingi kati ya shule 100 za kenya zilizofanya vizuri ni shule za serikali. Ya kwanza ni ya private. Ya pili ni ya serikali. Mwanafunzi namba moja tony edgar ameo ametoka shule ya maseno iliyoko kisumu, shule ya serikali. Wa pili katoka shule ya maranda iliyoko bondo county ya siaya, shule ya serikali.
Yaani kwa kifupi shule zinazoheshimika huko kenya na ambazo watu wanazipigania ni za serikali tofauti na kwetu hapa ambako viongozi wa elimu wanajenga shule za private, wanaua shule za serikali ili wenye pesa wapeleke watoto kwenye shule zao. Tanzania is a big joke.
sikubaliani na wewe hata kidogo ingekuwa siasa hakuna hayo magari yanayozunguka kenya nzima na kuwaomba watu wasifanye fujo ni nini? Hao wasanii wanaotoa ujumbe kila wakati wakiwasihi wakenya wasifanye fujo ni nini? Asikudanganye mtu serikali haipendi kuwaudhi wananchi kwa kipindi hiki wanapowahubiria amani amani.standardization ya hali ya juu imefanyika katika hayo matokeo.ukumbuke kuwa dunia nzima sasa hivi inaiangalia kenya kama wataweza kufuta yale yaliyotokana na uchaguzi uliopita na waliofanya fujo wakati ule wengi walikuwa vijanaa so wangefeli wangeingia tena mtaani sasa subiri matokeo yajayo ndio utathibitisha hilo
 
Wabongo tumejaa ubinafsi na kila mtu kujifanya anajua........kujipendekeza....kupendeleana...na kukomoana.......hatushirikiani.....ndi kwanza sasa tunakoleza upuuzi wa udini.......ujuha na umbeya ndio kazi yetu.....kuna mijitu iko exposed lakini haifanyi kazi kwa faida ya Taifa letu...INA ROHO MBAYA hata Idi Amin afadhali......tunajiua sisi wenyewe kimaendeleo........hakuna mchawi zaidi ya sisi wenyewe.......yaani ninajichukia sana........
 
Au sijaelewa, manake wala sioni chochote cha maana hapo....sana sana, ni yale ya penye chongo, kengeza mfalme!! Wavulana 55% wamefaulu, manake 45 wamefeli; na wasichana 45 wamefaulu, means 55% wamefeli----aggregate, 50% ya wanafunzi wamefeli!

na mimi nilijiuliza hilo swali na nikajiuliza waziri mutula anajivuni nini kutangaza matokeo kama haya?!! lakini nilipata jibu kutokana na a small research.
Ni kweli, 50% wamefeli lakini kwa standards zao! je kwa standards zetu, ni kweli 50% wamefeli?
kwanza tuelewe kwamba kwa kenya pass mark ni C-. chini ya hapo unahesabika kwamba umefeli.

GPA grading system kama wanayotumia kenya iko hivi,

Grade = points
A = 12
A- = 11
B+ = 10
B = 9
B- = 8
C+ = 7
C = 6
C- = 5
D+ = 4
D = 3
D- = 2
E = 1

kwenye equivalence na tunayotumia:
A , A- ni sawa na A
B+ , B , na B- ni sawa na B
C+ , C , C- na D+ ni sawa na C
D , na D- ni sawa na D
E ni sawa na F


kwa mfano
Div III ya 23 (CIV-C HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-C CHEM-C BIO-C B/MATH-C), kwa system ya kenya assuming zote ni '+'
itakua ( CIV 7pts, HIST 4pts, GEO 4pts ,KISW 4pts, ENGL 4pts, PHY 7pts, CHEM 7pts, BIO 7pts B/MATH 7pts) jumla 51 pts avarage 5.6 ambayo ni C.

tukirudi kwenye pass mark ambayo ni C- kwa hesabu ya haraka haraka ni Div III ya 25!!

na hivi ndivyo wanafunzi walivyo fanya kwenye mtihani wa form 4 2012.
JINSIAAA-B+BB-C+CC-D+DD-E
Wavulana127759471175315962189362218027134315823565537694264364263
wasichana698328859779221121741629121771271663154835872259973621
jumla197592351773025183311103847148905587486720373566524337884


kutumia the same conversion,ni sahihi kusema kwamba, kati ya watahiniwa 437,365.
  1. wanafunzi 85,233 walipata Div I. (Div I ni hadi B-)
  2. wanafunzi 231,357 walipata Div III ya 25 au zaidi. (Div III ya 25 ndo pass mark yao)
  3. waliopata F ni wanafunzi 7,884 tu! ( feli kwa standards zetu).
 
Nimemwangaliwa waziri wa Elimu wa Kenya akitangaza matokeo ya KCSE muda mchache uliopita kupitia Citizen Tv. Kwanza alitanza amejiamini, ana furaha, anapigiwa makofi. Amesema kuwa kiwango cha Elimu kimepanda, na kiwango cha Ufaulu pia kimepanda. Mtindo wao wa utangazaji matokeo sio kama wa Tanzania, alitaja kimikoa, na baadaye akataja wanafunzi kumi bora kitaifa, shule kumi bora kitaifa, akaweka msisitizo wa haya yafuatayo ambayo binafsi nimeona ni Tatizo kwa upande wa Tanzania.
  • Watahiniwa walikuwa 437,762= Waziri akasema Transition to higher Education is 100%
  • Akakiri kuwa Ratiba ilibadilika kidogo kwa wiki 3 kwa sababu ya mgomo wa Waalimu
  • Akasisitiza; Cheating is no longer option in Kenyan Examination process, yaani hakuna udanganyifu
  • Waziri akasema watu 88 WAMEFUNGWA kwa sababu ya kudanganya katika mitihani, au irregulaties mbalimbali
  • Wavulana wamefaulu kwa 55%, na Wasichana 45%...................
  • Akasema wataangalia upya madai ya waalimu kama walivyokuwa wamekubaliana

NIMEMALIZA KUSIKILIZA HIVYO, NIKALINGANISHA NA MATOKEO YETU YA MAJUZI YALIYOTANGAZWA, Nimejiuliza sana sisi tumekosea wapi Watanzania?.
'Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane'. Wanaong'ang'ania kukaa ofisini na wanaambiwa kuwa wametufelisha watoto kwa kutowajibishana, au kwa kufuata sheria kwa uleglege wachukuliwe hatua gani?

Ni katiba peke yake inatakiwa kuadress au itajibu haya!
 
Mbona naona Siasa tu hapo. Hakuna Takwimu za maana. Wangapi wamepata Div I, II,III ??. Sijaona kitu kinachokushangaza.

cheki hapa utapata takwimu zote unazozihitaji
http://www.capitalfm.co.ke/news/download/kcse_2012/appendix%20A-2012%20KCSE%20EXAMINATION%20ESSENTIAL%20STATISTICS.pdf

mkuu mleta mada,hii nchi haiishi wabishi embu kama unaweza tafuta web site ya hiyo wizara ulete ufaulu wao ili ujazie nyama hii hoja yako nzuri ndio tutaweza kulinganisha na hizo zero zetu.

http://www.capitalfm.co.ke/news/dow...012 KCSE EXAMINATION ESSENTIAL STATISTICS.pdf

Sasa tunasifia, wavulana 55% wamefaulu na wasichana 45% wamefaulu, Hiyo nayo Takwimu?.

kwa standards zao asilimia 50% walifeli lakini hayo matokeo yangekua huku kwetu ni 1.8% tu ndo walopata E ambayo ndo F hapa kwetu

Weka DIV I,DIV II,DIV III ....wangapi ndipo tu jadili

soma Quote ya mwisho.....

Najua wametuzidi lakini sio sana kama sisi Wa Tz tunavyodhania, bado na wao elimu yao inachangamoto kubwa. Tusijidharau kupita kiasi. Pia Mfumo wa Elimu wa kwao si sawa na wa kwetu. Wao wakitoka Form IV wanaingia chuo kikuu, wakati sisi tunaingia Form VI. Tusilinganishe vitu visivyolingana.

hata hivyo wapo waliotoka form 4 hapa kwetu na wakajiunga na university moja kwa moja huko kenya kwa maana hiyo washapitia mfumo watu nawakaona kwamba form 4 ya tanzania ni sawa na yao ndo maana wana-admit form 4 wa tanzania kwenye vyo vyao. at form 4 ushajua kila kinachohitajika ukijue kuingia chuo so form 5 na 6 ni un-necessary

na mimi nilijiuliza hilo swali na nikajiuliza waziri mutula anajivuni nini kutangaza matokeo kama haya?!! lakini nilipata jibu kutokana na a small research.
Ni kweli, 50% wamefeli lakini kwa standards zao! je kwa standards zetu, ni kweli 50% wamefeli?
kwanza tuelewe kwamba kwa kenya pass mark ni C-. chini ya hapo unahesabika kwamba umefeli.

GPA grading system kama wanayotumia kenya iko hivi,

Grade = points
A = 12
A- = 11
B+ = 10
B = 9
B- = 8
C+ = 7
C = 6
C- = 5
D+ = 4
D = 3
D- = 2
E = 1

kwenye equivalence na tunayotumia:
A , A- ni sawa na A
B+ , B , na B- ni sawa na B
C+ , C , C- na D+ ni sawa na C
D , na D- ni sawa na D
E ni sawa na F


kwa mfano
Div III ya 23 (CIV-C HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-D PHY-C CHEM-C BIO-C B/MATH-C), kwa system ya kenya assuming zote ni '+'
itakua ( CIV 7pts, HIST 4pts, GEO 4pts ,KISW 4pts, ENGL 4pts, PHY 7pts, CHEM 7pts, BIO 7pts B/MATH 7pts) jumla 51 pts avarage 5.6 ambayo ni C.

tukirudi kwenye pass mark ambayo ni C- kwa hesabu ya haraka haraka ni Div III ya 25!!

na hivi ndivyo wanafunzi walivyo fanya kwenye mtihani wa form 4 2012.
JINSIA
A
A-
B+
B
B-
C+
C
C-
D+
D
D-
E
Wavulana
1277
5947
11753
15962
18936
22180
27134
31582
35655
37694
26436
4263
wasichana
698
3288
5977
9221
12174
16291
21771
27166
31548
35872
25997
3621
jumla
1975
9235
17730
25183
31110
38471
48905
58748
67203
73566
52433
7884


kutumia the same conversion,ni sahihi kusema kwamba, kati ya watahiniwa 437,365.
  1. wanafunzi 85,233 walipata Div I. (Div I ni hadi B-)
  2. wanafunzi 231,357 walipata Div III ya 25 au zaidi. (Div III ya 25 ndo pass mark yao)
  3. waliopata F ni wanafunzi 7,884 tu! ( feli kwa standards zetu).
 
Tanzania ni ya mwisho kuwekeza kwenye Elimu hata burundi wametuzidi.Kenya wanawekeza 7% of their GDP kwenda kwenye Elim TZ 1% unategemea nn?serikali ya CCM elim kwake si kipa umbele.hatuwezi kushinda ktk EAC kwa mwendo huu wa kipuuzi.
 
Back
Top Bottom