Recent content by John Mwelele

  1. J

    Shirika la ndege la Serbia lapiga hatua katika kuboresha huduma zake

    Shirika la ndege la Serbia, ambalo ni shirika la ndege la Taifa la Serbia, lilisherehekea hatua nyingine katika mabadiliko kama shirika la ndege linaloongoza katika kanda, kwa kuwasili kwa ndege yake kubwa ya kwanza katika uwanja wa ndege wa Nikola Tesla jana. Ndege aina ya Airbus A330...
  2. J

    SHIRIKA LA NDEGE ETIHAD LATEUA MKURUGENZI MPYA NIGERIA

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ndege la Etihad nchini Nigeria Bw. George Mawadri Shirika la Ndege la Etihad ambalo ni shirika la ndege la taifa katika falme za kiarabu limemteua George Mawadri kuwa Mkurugenzi mpya wa shirika hilo nchini Nigeria, ambapo atahusika na kusimamia shughuli za...
  3. J

    Huawei yazindua Programu ya 'Seeds for the Future' nchini Tanzania

    Mkurugenzi wa Huawei Tanzania Bw. Bruce Zhang (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi 10 wa vyuo vikuu nchini mara baada ya uzinduzi rasmi wa programu ya elimu ya Seeds for the future ambayo inadhamini wanafunzi 10 wa vyuo vikuu hapa nchini kila mwaka kwenda China kujifunza na...
  4. J

    Etihad Airways yafungua jumba la kifahari la mapumziko katika uwanja wa ndege Melbourne, Australia

    Shirika la ndege la Etihad leo limefungua rasmi jumba jipya la kifahari kwa ajili ya kupumzikia abiria wake katika uwanja wa ndege wa Melbourne, Australia. Jumba hilo ni mahususi kwa kuwapatia abiria mazingira tulivu ambayo wanaweza kupumzika, kuongeza nguvu, kula, kufanya kazi au kuburudishwa...
  5. J

    Shirika la ndege la Etihad latoa taarifa kuhusiana na msukosuko wa Ndege yake Indonesia

    Mei 10 2016, Timu ya wataalamu kutoka shirika la ndege la Etihad leo wametembelea abiria tisa waliolazwa baada ya Ndege aina ya EY474 ya shirika hilo kupatwa na msukosuko mkali katika anga la wazi ambapo walitoa huduma endelevu, ushirikiano na msaada. Vile vile walikutana na wanafamilia kadhaa...
  6. J

    Askari aliyetukanwa na mama Mahiga naye alikiuka maadili ya jeshi

    Sasa hivi hauwezi kuzuia kasi ya ukuaji wa mitandao hasa ya kijamii...ninavyoona ana haki ya kurusha hata kama asingerusha yeye mwenyewe vipi mtu mwingine angerekodi na kurusha,,,au askari kamsambazia rafiki yake naye akaamua kuitumia kwenye mitandao...??? Tukumbuke pia kisa cha kule tanga...
  7. J

    Askari aliyetukanwa na mama Mahiga naye alikiuka maadili ya jeshi

    Hii hapa mkuu Mjue Mke wa Waziri anayedaiwa kumtukana askari wa usalama barabarani ambaye anatakiwa kupandishwa cheo | DAR ES SALAAM WIRE
  8. J

    Britam yazindua huduma zao rasmi nchini Tanzania

    Mgeni rasmi Jaji (mstaafu) Joseph Sinde Warioba akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Britam Group Dk. Benson Wairegi muda mfupi baada ya mheshimiwa huyo kuzindua rasmi Kampuni ya Britam Tanzania inayojishughulisha na masuala ya bima katika soko la Tanzania, uzinduzi huo ulifanyika juzi...
  9. J

    Shirika la ndege la Etihad limezindua programu ya simu za mkononi kwa ajili ya wateja kupata taswira

    Etihad Airways ambalo ni shirika la ndege la taifa la UAE, limezindua programu ya simu za iPhone ambayo inasaidia wageni kupangilia na kuratibu safari zao kwa urahisi zaidi kadri ambavyo shirika linavyoendelea kuendana na teknolojia ya kiuvumbuzi ya kupata taswira ya safari. Wateja wa Shirika...
  10. J

    Kada wa CCM Arusha Ashikwa Kwa Utapeli

    MY take: Comments za watu wengi hazina mashiko na mleta uzi hajakamilisha habari kwa usahihi...kama ni kada Je ana cheo chochote CCM ni vizuri kingetajwa...na kama ni mtu wa kawaida basi tuambiwe umaarufu wake wa kuitwa kada, amefanya lipi hasa mpaka kuitwa kada wa CCM....vingenevyo hatuna...
  11. J

    Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

    Ni Kweli kabisa mkuu kama ni kufuta hadi online wangefanya hivyo...lakini mwambie lara1 aangalia hapa hapa jamii forums upande wa kulia...atakutana na bango la mnyama...aka SIMBA.
  12. J

    Shirika la ndege la Etihad latoa tiketi ya bure kwa mtanzania

    Shirika la Ndege la Etihad ambalo ni shirika rasmi la ndege la nchi ya Falme za Kiarabu, lenye makao makuu Abudhabi, hivi karibuni lilipanua wigo wa huduma zake jijini Dar es Salaam, ambapo katika kuadhimisha ujio wake hapa nchini, Shirika hilo liliamua kumzawadia mtanzania mmoja tiketi ya bure...
  13. J

    Wafanyakazi hewa wafikia zaidi ya 7700

    Chief ni bora ukatumia lugha moja tukakuelewa kwa ufasaha...kuliko kuchanganya kiingereza na kiswahili kwa wakati mmoja.
  14. J

    Pale Makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Voda

    Narudia haya ni maneno ya kijiweni Voda wana campaigns kibao...bango la diamond likitolewa it means it's another time for another campaign/promotion...kwahiyo acheni uzushiiiiiiiiiiiiii....No 1 Diamond supporter #SHUT UP LORA SIJUI NINI...!
Back
Top Bottom