The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Idadi mpya ya wafanyakazi hewa kwa nchi nzima imefikia 7700
idadi mpya ya wafanyakazi hewa kwa nchi nzima imefikia 7700
Hapo bado wizarani na taasisi nyeti kule wanakotoka akina unajua mi nani!idadi mpya ya wafanyakazi hewa kwa nchi nzima imefikia 7700
Kabla ya kutuita wajinga (nawe ni Mtanzania) tafsiri yako "mfanyakazi hewa" iliyo sahihi itofautishe na inayofanyiwa kazi kwa sasa. La wewe ndo mjinga!Watanzania msiwe wajinga, extent ya wafanyakazi hewa haiko kiivyo. Kama kweli wapo waambieni wawambie Definition ya wafanyakaz hewa nini, measurement ya wafanyakaz hewa ni nin? na wana recognize wakati gani? Kwa kusaidia definition ina lengo la kutofautisha waliostaafu, waliokufa walioacha kazi au ambao hakuna taarifa rasmi ya kutokuwepo kwao, sababu unakuta mwalimu yuko shule barua haijafika kwa DED anaonekana mfanyakaz hewa, wanaomfeed taarifa mkuu wa nchi wanapaswa kuwa watu makini sana, wanaojua mambo in detail.
Watanzania msiwe wajinga, extent ya wafanyakazi hewa haiko kiivyo. Kama kweli wapo waambieni wawambie Definition ya wafanyakaz hewa nini, measurement ya wafanyakaz hewa ni nin? na wana recognize wakati gani? Kwa kusaidia definition ina lengo la kutofautisha waliostaafu, waliokufa walioacha kazi au ambao hakuna taarifa rasmi ya kutokuwepo kwao, sababu unakuta mwalimu yuko shule barua haijafika kwa DED anaonekana mfanyakaz hewa, wanaomfeed taarifa mkuu wa nchi wanapaswa kuwa watu makini sana, wanaojua mambo in detail.
Wewe ni lijinga na li-pumbavu kabisa. Wenzako wanalalamikia ubadhirifu na kupongeza juhudi za rais, hata japo Kwa hatua ya kuweza kutambua na kusimamisha mishahara ya wafanyakazi hewa, wewe unabeza, you're such an idiot creature! Mwendo uko pale pale lazima serikali ibaki na wafanyakazi halisi.Watanzania msiwe wajinga, extent ya wafanyakazi hewa haiko kiivyo. Kama kweli wapo waambieni wawambie Definition ya wafanyakaz hewa nini, measurement ya wafanyakaz hewa ni nin? na wana recognize wakati gani? Kwa kusaidia definition ina lengo la kutofautisha waliostaafu, waliokufa walioacha kazi au ambao hakuna taarifa rasmi ya kutokuwepo kwao, sababu unakuta mwalimu yuko shule barua haijafika kwa DED anaonekana mfanyakaz hewa, wanaomfeed taarifa mkuu wa nchi wanapaswa kuwa watu makini sana, wanaojua mambo in detail.
asante kwa angalizo.Watanzania msiwe wajinga, extent ya wafanyakazi hewa haiko kiivyo. Kama kweli wapo waambieni wawambie Definition ya wafanyakaz hewa nini, measurement ya wafanyakaz hewa ni nin? na wana recognize wakati gani? Kwa kusaidia definition ina lengo la kutofautisha waliostaafu, waliokufa walioacha kazi au ambao hakuna taarifa rasmi ya kutokuwepo kwao, sababu unakuta mwalimu yuko shule barua haijafika kwa DED anaonekana mfanyakaz hewa, wanaomfeed taarifa mkuu wa nchi wanapaswa kuwa watu makini sana, wanaojua mambo in detail.
Kijana wa kabwe kazini ..... na bado mtalalama sana mlizoea vya kunyonga sasa tunataka kuona mnaishi kama mashetani tuu basi.asante kwa angalizo.
Chief ni bora ukatumia lugha moja tukakuelewa kwa ufasaha...kuliko kuchanganya kiingereza na kiswahili kwa wakati mmoja.Watanzania msiwe wajinga, extent ya wafanyakazi hewa haiko kiivyo. Kama kweli wapo waambieni wawambie Definition ya wafanyakaz hewa nini, measurement ya wafanyakaz hewa ni nin? na wana recognize wakati gani? Kwa kusaidia definition ina lengo la kutofautisha waliostaafu, waliokufa walioacha kazi au ambao hakuna taarifa rasmi ya kutokuwepo kwao, sababu unakuta mwalimu yuko shule barua haijafika kwa DED anaonekana mfanyakaz hewa, wanaomfeed taarifa mkuu wa nchi wanapaswa kuwa watu makini sana, wanaojua mambo in detail.
Wewe ni lijinga na li-pumbavu kabisa. Wenzako wanalalamikia ubadhirifu na kupongeza juhudi za rais, hata japo Kwa hatua ya kuweza kutambua na kusimamisha mishahara ya wafanyakazi hewa, wewe unabeza, you're such an idiot creature! Mwendo uko pale pale lazima serikali ibaki na wafanyakazi halisi.
sasa kama barua ya mwalim haijafika kwa DED nani anapokea mshahara wake? na nani kaliingiza jina lake kwa payraw?Watanzania msiwe wajinga, extent ya wafanyakazi hewa haiko kiivyo. Kama kweli wapo waambieni wawambie Definition ya wafanyakaz hewa nini, measurement ya wafanyakaz hewa ni nin? na wana recognize wakati gani? Kwa kusaidia definition ina lengo la kutofautisha waliostaafu, waliokufa walioacha kazi au ambao hakuna taarifa rasmi ya kutokuwepo kwao, sababu unakuta mwalimu yuko shule barua haijafika kwa DED anaonekana mfanyakaz hewa, wanaomfeed taarifa mkuu wa nchi wanapaswa kuwa watu makini sana, wanaojua mambo in detail.
Mshahara unaenda kwenye akaunti moja kwa moja, afisa utumishi kabla ya kupeleka majina benki anapswa kuhakiki ambao ajira zao zimekoma, au wamekufa ili benki isilipe, kama hana taarifa kutoka kituo flani labda cha afya kuna muuguzi ameacha kazi ataforward benk majina kama mwezi uliopita, then mtu anachukua hela, zipo kesi afisa utumishi anaweza kupiga lakin ni risk kwake, au wakat mwingine hizo hela zinatumika kulipia arrears ambazo hazijaja, mambo ya halmashaur ni magumu sana me nayafaham sabab niliwahi kuwa huko.sasa kama barua ya mwalim haijafika kwa DED nani anapokea mshahara wake? na nani kaliingiza jina lake kwa payraw?
Tunachokushangaa ni kwanini wewe upinge hizi juhudi na kuzibeza? Kwa nini shinyanga walisema hawana kumbe wapo? Halafu hii ni taaluma ya watu ujue, Kwa sababu suala la auditing (ukaguzi) ni la kitaalamu zaidi, hivyo ni bora wewe ukanyamaza kimya tu usubiri kama siyo kweli tutajua, ila tunachofurahi sisi ni ile hali ya kujua wafanyakazi hewa wapo na wamebainikaMkuu ww unanitukana bure tu, nachokwambia nna uhakika nacho, extent ya wafanyakazi hewa sio kubwa kiivyo, hao wataalamu wanapaswa kuwapa taarifa sahihi wakubwa wao. Kama kitu hukijui vizuri usipende kutumia nguvu kubwa kubisha. Sikatai kuna mishahara mmoja au miwili inaweza kuendelea kuflow baada ya ajira kukoma kutokana na taarifa na udhaifu wa mifumo, lakin sio issue kubwa kiivyo, na hata aje nani hali hiyo itaendelea kuwepo sababu hasa kwenye mahospitali mashule polisi, yan vituo ambavyo viko nje ya wilaya, taarifa zinatoka wilayan kwenda tamisemi na hazina, kama kuna breakdown ya taarifa kutokea kituo cha kazi kwenda wilayan lazima tatizo litakuwepo. Tatizo letu watanzania ni kujidai mainjinia wa kila kitu.