Kwa hapa ilipo fikia operation imesha mshinda ila anacho kifanya ni kutafuta uchochoro wa kukimbilia, ukiona rais anafukuza watendaji wakuu jeshini jua maiyasha fika shingoni.
Huyu mwamba akichanganya aisee ni noma sana,yupo fiti alitokea mmoja hivii ilikua iwe goli ila nilimsifu sana kwa kweli,sema TZ wabaguzi sana huenda usione huo ubaguzi ikiwa na wewe unavirusi hivyo vya ubaguzi
Mboga nyingi zinalimwa hapahapa mjini Moro kama mchicha, sukumawiki, spinach, tembele, vyote hivyo vinalimwa hapahapa mjini, kama unahitaji eneo la kupanda mchicha na vitu vidogovidogo. 0655212301
Unahitaji wanyama wengi kwani unakwenda kununua useme utakosa machaguo mengi, isitoshe mleta mada kaongelea sana mazingira nasio wanyama.Aisee wabongo tunakurupuka!.
Ni bora hata nayeye angekufa halafu maza ake apone ili ajutie kitu alicho fanya kimegharim maisha ya mwanae. Nimbaya sana kushiriki dhambi na motto wako ni laana.
Kitu kimoja muhimu wekeni bench za kukalia kwenye vituo vyote, hii changamoto nimeishuhudia sio maramoja ,hasa DIT, MAGOMENI KAGERA ,MOROCCO, KANISANI, huku kote nimekutana na changamoto ya mabasi kuchelewa kufika kituoni ama kupitiliza yakiwa yame jaza.Kwahio watu wanasimama hadi saa nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.