halafu ndugu MwitaHillary kuwa specific kwenye thread yako sema "temporary employee" usiseme wafanyakazi maana hapo unadraw tention za watu pasipo na sababu kana kwamba kuna wafanyakazi wa World Vision hawajapewa stahiki zao kumbe ni vijana walikuwa wanafanya 'Tempo'
Kudai Haki ni jambo la msingi sanah hasa pale unapotambua kwamba umeonewa lakini pia ni vizuri kudai haki mahali unapoweza kuipata na madai yawe ya kweli Ndugu MwitaHillary umetudanganya...
1. kwanza Mkataba waliopewa sio wa siku 14 kama unavyosema bali ni mkataba wa siku 12 (kama sivyo kweli...
Katika kile kinachoonekana kama kuihofia CHADEMA hasa baada ya LEMA GODBLESS Jutangaza kwamba ataelekea Bukoba weekend ijayo katika harakati za kuchukua kaa 8 za madiwani wa ccm waliofukuzwa jana.... BREAKING NEWS zinasema CCM Imewarejeshea uanachama na Udiwani madiwani wote 8 amabao ilitangazwa...
Kaka kw hivo leo umeenda kanisani kumwabudu Mungu na kusikiliza neno la Mungu ama ukijuwa JF , asa kwa staili hii ya kuwa ibadani unatoka unaingia JF unarudi tena unaingia JF eeh utaacha kuitwa spy kaka pamoja na hilo tushirikishe basi na Ujumbe wa neno la Mungu uliopata huko!!
kuhusu mshahara kwa "fresh graduates" inategemea na bank (au institution nyingine yoyote) salary scale zao..pia inategemea how compitent u a kwenye hilo eneo (hata kama hujawah kuajiriwa kabla) na pia bargaining power yako..but kwa little information niliyonayo fresh graduate kw private...
ndugu yangu hiyo ndoto ukiota hivo hiyo ndo nonsense yenyewe..utaotaje umelala na mke wa mtu?hilo ni pepo.... by the way htoa mada hapo juu hajasema kama yeye ni mke wa mtu au lah...na pia ukumbuke kuna ndoto zitokazo kwa Roho Mtakatifu, zingine ndoto za Kipepo na zingine ni matokeo ya uchovu na...
hicho kiyunguu kiko wapi? maana kuna wafanyabiashara wa Kenya wanaokuja kununua vitunguu Tz, na kama unataka kusafirisha mwenyewe...inabidi uwe vizuri kipesa...na uwe na mru unayewasiliana nae (Dalali/ au trader) huko Nairobi..othewise itakusumbua..kwa msaada zaidi tuwasiliane au wacheki jamaa...
mmmmh mwenzangu sio walokole wote wanantumia hiyo...na hajasema kama huyo kaka ni mlokole au lah...na kama ni mlokole kila kanisa lina utaratibu wake kuhusu suala hilo..by the way suala la ndoto kuhusu ndoa nowadays its very rare..(japo inawezekana) coz Mungu ana njia nyingi za kusema / kmjibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.