Recent content by Johede

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

    Sikubaliani na ww mtoa mada hasa hapo kwenye mavazi na mawigi kila mtu na chaguo lake
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jibu swali langu? Wengi watafeli hesabu yangu

    Undefined
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

    Maua kama muasumini,mkilua then ndan baada ya kusafisha unapulizia udi au unawasha candles zile zenye harufu
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    Its very true hiyo ni genes kuna kipind nlikua Arusha kuna msichana mmoja tulikuwa tunabishana mambo ya kawaida sana akapasua chupa akataka kunichoma karibu na moyo
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa nin wanawake wanawapenda sana wanaume wenye sauti zenye besi.

    Sauti kama ya Big brother Africa acha tu mpaka nimeimis ile show kwa sauti yake tu noumer sanaa
  6. J

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Kwa kwel zile ni stress sio kwa kipigo kile na hiv ajira hamna mbona watoto wata chinjwa mwaka huu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

    Aashiqui
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atumia asali kufanya sehemu nyeti kuwa ndogo, nyeti zaoza

    Sijawahi sikia hilo jina yawezekana pia ikawa hiyo
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atumia asali kufanya sehemu nyeti kuwa ndogo, nyeti zaoza

    Kuna nyingine hizo iko kama kidonge ukieka huko chini unakua wamoto,nyingine zina ladha unakuwa ukieka unakua unanukia chocolate au vanila yan watu wana balaa acha tu
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 'Utanashati' wawafukuzisha kutoka Saudi Arabia!

    Ooh Omar Omar
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kabadilika kimuonekano

    Hapana hatamtenga atamkimbia kabisa ahame na mji na abadilishe namba za cmu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Ameshare story kwa niaba ya huyo dada mtendwaji
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    I think ungeanza kusoma vizur hivyo vitabu anza na hicho usichokijua vizur Quran soma neno hadi neno uelewe then ukae ufikirie ni binadamu gan anaweza kuandika maneno mazito kama yale
Back
Top Bottom