Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Mdada unayetaka ndoa, soma hapa

Kwahyo hawa masingo lediz team natural waliojaa huku kwetu shida nn?

Wanaume viumbe vya ajabu sana ukitaka kuwaridhisha utakufa ukiwa wima n ingekuwa simpo hivo kwamba ukiacha artificial things unaolewa basi watu wasingejaza kwa waganga na the so called manabii.

Live ur life for ur sake not for mwanaume, yan nifanye vtu flan ili nipate mume then nkishapata what next?

No wonder ndoa hazidumu nowadays coz waume mnaweka vgezo vya wife material then madada wanavaa uhusika Kudraw ur attention after ndoa mnatujazia threads jukwaan za kulalamika wake zenu wamebadlka, sio wamebadlka ndo true color yake hyo kaka.

Amin amin nawaambia bora shetan unaemjua kuliko malaika usomjua.

N ndoa z ol abt chemistry, unaweza pata huyo natural forest wako na mkashindwa kupka chungu kimoja coz chemistry hakuna btn u.

Labda kama mnazungumzia mke just mke bt kama ni mke mwema haptkan Kwa vgezo vyepes hvo ndoa z very far beyond that, hata biblia yenyewe inauliza "Mke mwema ni nan atakae mwona? Ingekua simpo hvo basi inge outline vgezo Kadha wa kadha tujue.

Halaf wakat unachagua hivo jiulize na ww unavgezo vya kubarikiwa aina hyo unayoiwaza kichwan mwako? Sio unataka mke mwema alaf we mwenyewe kanjanja ili umtese mtoto wa watu.

Muombe Mungu Kwa dini yako akupe wa kufanana na wewe
 
Teh teh teh teh,vp kama nae anapendelea hiyo mivituz
Duh.....
Hata kama anapenda, ila mwanamke ni kiungo muhimu mnoo katika mahusiano, ndoa...
Ulevi wake ni hatari saana kuliko Mwanaume, japo simaanishi mwanaume anywe
Naona mnatumia nguvu kubwa kuhalalisha hayo mambo.
 
Kwahyo hawa masingo lediz team natural waliojaa huku kwetu shida nn?

Wanaume viumbe vya ajabu sana ukitaka kuwaridhisha utakufa ukiwa wima n ingekuwa simpo hivo kwamba ukiacha artificial things unaolewa basi watu wasingejaza kwa waganga na the so called manabii.

Live ur life for ur sake not for mwanaume, yan nifanye vtu flan ili nipate mume then nkishapata what next?

No wonder ndoa hazidumu nowadays coz waume mnaweka vgezo vya wife material then madada wanavaa uhusika Kudraw ur attention after ndoa mnatujazia threads jukwaan za kulalamika wake zenu wamebadlka, sio wamebadlka ndo true color yake hyo kaka.

Amin amin nawaambia bora shetan unaemjua kuliko malaika usomjua.

N ndoa z ol abt chemistry, unaweza pata huyo natural forest wako na mkashindwa kupka chungu kimoja coz chemistry hakuna btn u.

Labda kama mnazungumzia mke just mke bt kama ni mke mwema haptkan Kwa vgezo vyepes hvo ndoa z very far beyond that, hata biblia yenyewe inauliza "Mke mwema ni nan atakae mwona? Ingekua simpo hvo basi inge outline vgezo Kadha wa kadha tujue.

Halaf wakat unachagua hivo jiulize na ww unavgezo vya kubarikiwa aina hyo unayoiwaza kichwan mwako? Sio unataka mke mwema alaf we mwenyewe kanjanja ili umtese mtoto wa watu.

Muombe Mungu Kwa dini yako akupe wa kufanana na wewe
Kwi kwi kwi
 
Hapo sawa tushauriane tu kimaadili/ kiafya maybe kuwa vitu fulani havifai kufanywa whether umeolewa or not. Mtu kuvaa wigi sijui kushonea weaves ni uamuzi tu wa Mtu, haikufanyi usijitambue na wala usiolewe, unless ukutane na asiyependa hizo mambo. Me Mbona team natural na hata sijawahi kudanganyishiwa ka-proposal hata on April fools? Lols

Tatizo tunapenda kuforce watu waconform our "wife material standards" but no one should die trying to fit in a box, just because she wants to get married. Hamna wanaume wanaopenda wake zao washonee weaves? Na kuna wanaume wanakwambia kabisa me sitaki mwanamke "wife material" sana, wamezubaa sana mwee, anataka mcharuko fulani hivi amazing. So, live and let live. Afu be yourself basiii

Hehe hujakutana na binti ambaye hawezi kutoka bila wigi, labda umbadilishe kwa maombi. Sio rahisi hivyo kubadilisha personality / character ya mtu
yaani hii komenti imenifanya nikupende mama. nataka nikuoe ati, regardless sijui mawigi, pombe wala sigara (simaanishi unavyo hivyo). btw, una akili sana we mwanamama....salute HS!!!
 
Hamna wanawake walioolewa wanaovaa mawigi, vimini au kunywa pombe? Ndoa ingekuwa na formula mbona wote tungeshaolewa

Kuna vitu tunaweza tu kushauriana kuwa tusivifanye, labda kwa sababu sio vizuri. But sio usivifanye Kwa sababu tu unataka kuolewa, maana utashangaa huvifanyi na kuolewa huolewi. Binadamu tunatofautiana sana
Point nzuri mno lakini kama kunashida flani unayo.. hongera
 
Je unawahaidi nini hawa dada zetu wakiacha hizo tabia ulizozitaja nabado ndoa wakabak kuziona kwenye cherekochereko TBC?
 
Kumbe wanawake wenye uhitaji wa ndoa ni wengi hivi?....wacha nimpigie POP abadili kanuni walau kila mmoja awe na wawili au watatu.
 
Back
Top Bottom