Recent content by Jofure freeman

  1. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

    Akili za Mungu hazichunguziki
  2. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Iran yasogeza Meli zake za vita Bahari Nyekundu!

    Unaishi Dunia ipi yaani Marekani atake kumchunguza Irani ashindwe? Aisee kuwa serious kidogo
  3. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Ushoga katika taifa la Israeli

    Vita imewashinda uwanjani mmeamia mitandaoni . Mtajuta kuchokoza taila la Mungu hata muunganishe nchi zote za maalim Israel bado mshindi.
  4. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

    Nilipandia singida hiyo basi ya play boy inayotoka karagwe ilifika singida kwenye saa mbili , Nikapanda kuelekea dar aisee watu niliowakuta ndani ya gari walikuwa wamechoka balaa ukikaa karibu na mtu unasikia harufu kama vile kafariki duh Safari ndefu balaa.
  5. Jofure freeman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaa ukijua hamu ya kujamiiana kwa mwanamke ni mara tatu zaidi ya mwanaume

    Labda kama sio hawa wanawake wanaotumia sindano na vidonge vya kuzuia mimba nyege zilishakwishaaaa
  6. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

    Watu wanateseka duniani sababu ni watenda dhambi . Principal iko wazi ukimtumikia Mungu kwa uaminifu bila makandokando ya kumchukiza kwa matendo maovu ukaamua kuishi ya kulifata neno lake hakikahuwezi kuteseka. Ila ukiishi kwa mazoea ya kutenda dhambi wewe ni wa shetani hakika Mungu hawezi kuwa...
  7. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Nililogwa ili nife kwa kisukari na pressure

    We utakuwa mchawi unaficha Jamaa asisimulie mambo yenu
  8. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Ni Comedian Gani Anayefanya Vizuri, Unayependa Kumsikiliza/Kumwangalia?

    Mkojani mkali sana.
  9. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Nina kila dalili ya muathirika wa UKIMWI

    Aliwazialo mtu ndilo humtokea, ukikili kwa kinywa chako kuwa una UKIMWI lazima uugue kweli kwa maana ya kwamba, sisi wanadamu tuna uungu ndani yetu yaani mungu alitupa nguvu sawa na zake, chochote unachokinena kwa kinywa chako kinaumba katika ulimwengu wa roho, ndipo magonjwa uanza kuonekana...
  10. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Toyota Passo kwa 2.6 million only

    Iko mkoa gani gari
  11. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Unauliwaje Kichawi? Hivi ndivyo inavyokuwa

    Umenifurahisha kwenye point no.3 kuzishika amri kuu za mungu na sheria zake hapo hata mchawi wa nigeri haniwezi , hakuna mchawi wa kuniroga nikiwa nayaisha maisha matakatifu yasiyo machukizo kwa mungu.
  12. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

    Lissu for lifeee
  13. Jofure freeman

    JamiiForums Tanzania Israel yapiga inapotaka haimuogopi mtu na hakuna anayewalaumu

    Israel ni taifa teule la mungu ukiligusa ujue unapigana na mungu utasambaratishwa vibaya sana ndomaana nchi zote zinaliogopa taifa teule.
Back
Top Bottom