Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,191
- 48,718
Mimi nitatoa 2.9 ila huyo wa kwenye gari anipe chachandu kidogo.
Tango linafaidi
Tango linafaidi
Dahhhh....
Na kwenye wallet nimeona tango..
Kukosa hela ni jambo baya sana wallah...View attachment 1612457




Ninavyo wajua vijana wa humu, lazima wakaitumie kwa maji na kipande cha sabuni huko bafuni....🤓🤓ilo paja lime nistua sio siri
2M tumalize biashara kaka.ongeza laki 5 mkuu
jamaa kanisaidia kuzoom apo. sema nilisha acha chaputaNinavyo wajua vijana wa humu, lazima wakaitumie kwa maji na kipande cha sabuni huko bafuni....🤓🤓
nimeuriza tyuMkuu kwahiyo wewe umeamua kubadilisha biashara unataka paja badala ya gari
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Pokea simu tuongee biasharaToyota passo inauzwa kwa bei poa
Engine cc 990
Year made 2004
Rangi: Grey
iko full AC yani hamna tabu
Bei: milioni 2 na laki 6 tu.
Gari iko kimara
nicheki 0683011003 tumalize biashara
wakuu 2mil haitowezekana.
ongezen 5 tufanye biashara

nipe mawasiliano tufanya kaziVipi kuna chuma nyingine..mana kuna m2 na kitu zipo hazina kazi nataka nimnunulie demu wangu.nashukuruni sana kwa kuonesha nia ya kununua hii gari.
kesho Inshaallah tunafunga Biashara
ntawaletea chuma nyingine kwa bei poa tu nadhani next week