Uchaguzi 2020 Kwa umati uliofurika leo Viwanja vya Matogoro Mjini Tandahimba, ni wazi hakuna wa kumzuia Tundu Lissu kuwa Rais

Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.

Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.

Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.

Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.

Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.

Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Bila hata kapicha??
 
Mashekhe Ubwabwa wa CCM waungana na kuanza kuwatisha Wananchi

Usitake kuwatumia Viongozi wa dini ya wenzio Kama hoja yako ya kujifariji kisiasa.

Ni Mpumbavu pekee ndo huwa anafanya mambo yake kwa kupitia migongo ya wenzie.

Jiheshimu kutii na kuheshimu Viongozi wa dini za wenzio hata Kama kwako hofu ya Mungu Ni zero.
 
Si ndo maana unamelemeta kwa afya kwa kujidanganya kuwa Chama cha malaya wa kisiasa baba yako kitatawala milele Mwenyekiti wenu akimaliza kampeni bila push-up jukwaani. Kupiga magoti jukwaani kuomba kura siyo dalili nzuri!
Ulisahau ,siku hizi huwa anatembea na gilasi ya maji ya kombe huwa inawekewa meza ndogo kwenye kiriri. Huduma ya kwanza hiyo
 
Usitake kuwatumia Viongozi wa dini ya wenzio Kama hoja yako ya kujifariji kisiasa.

Ni Mpumbavu pekee ndo huwa anafanya mambo yake kwa kupitia migongo ya wenzie.

Jiheshimu kutii na kuheshimu Viongozi wa dini za wenzio hata Kama kwako hofu ya Mungu Ni zero.

Ni kweli kwani hawa mashehena dini yao ni matumbo yao
 
Ni lazima tuwaumbue Mashehe Ubwabwa wa CCM bila hivyo Mungu atatuadhibu.
 
Ni kweli kwani hawa mashehena dini yao ni matumbo yao
Awali ya yote mimi sitajiingiza katika propaganda za uchaguzi bali nitajaribu kueleza hali ya Waislam ilivyo.

Kwanza ni kuwa Waislam toka ilipovunjwa EAMWS na serikali mwaka wa 1968 na Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir kukamatwa na kufukuzwa nchini na serikali kuwaundia Waislam BAKWATA, Waislam wameishi na kinyongo miaka yote sasa inafika nusu karne.

Ndiyo unasikia lugha za "sheikh wa BAKWATA," Waislam wakijiweka mbali na BAKWATA.

Na ukweli ni kuwa BAKWATA haijaweza kukubalika na sababu ni ndogo kuwa si taasisi iliyoundwa na Waislam wenyewe.

Matokeo yake ni kuwa katika hii jamii kubwa ya Kiislam Waislam wana viongozi wao wanaowakubali, kuwaamini, kuwapenda na kuwasikiliza wanachowaambia.

Sheikh Ponda ni mmoja wa masheikh hawa.

Sheikh Ponda amewaeleza Waislam nani adui ya Waislam wa Tanzania na akasimama kupambana na adui huyu huku akiungwa mkono na Waislam wengi sana.

Katika juhudi hizi Sheikh Ponda kakutwa na shida nyingi.

Kalipa kwa ajili ya Allah kwa machozi na damu.

Kwa damu yake na machozi ya nduguze Waislam.

Nimeweka hapa FB makala fupi ya maisha ya Sheikh Ponda katika kuwatumikia Waislam sasa mtafute sheikh yeyote wa BAKWATA ambae amepata kusimama na Waislam katika dhiki na shida zao.

Hakuna.

Katika hali kama hii ni tabu sana kujaribu kumchafua sheikh kwa propaganda hizi za uchaguzi kwa kuwa Waislam wanamjua Ponda ni nani.

Ponda anawakilisha sauti ya Waislam wengi, wengi, wengi sana.

Wako waliotambua hili na wamejua nini wafanye waweze kupata kura za Waislam.

Hawa ni watu wenye kufikiri na kukubali ukweli kuwa Waislam wanaishi na kinyongo dhidi ya utawala kwa miaka mingi.

Hawa wametumia fursa hii kwa kuhaidi kutoka haki na fursa sawa kwa wote.

Ndiyo maana hujasikia Waislam wamefanya maandamano kumpinga Sheikh Ponda.

Wanaompinga Sheikh Ponda si masheikh bali ni "masheikh wa BAKWATA."

Chunguza.
 
Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.

Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.

Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.

Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.

Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.

Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Wewe huwajui wana Tandahimba!? Hao walikwenda kuhakiki kama kweli wanayemsikia ndiyo yule aliyepigwa risasi (za ndege 16) na akapona!? Walikwenda kushangaa shangaa tu na kujiridhisha nafsi zao kuhusu huyo "mpigwa risasi"! Hakuna zaidi, hakuna pungufu!
 
Wakazi wa mji wa Tandahimba na vitongoji vyake walikusanyika kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Matogoro ili kumpokea mgombea urais anayeiwakilisha CHADEMA Mh. Tundu Lissu.

Kwa hakika umati ulikuwa mkubwa haijapata kutokea. Hamasa ilikuwa juu sana.

Huku watu wakiendelea kumiminika, ikaletwa taarifa kwamba Tundu Lissu hatafika kwenye hadhara hiyo kwani hana kibali cha kufanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Tandahimba.

Kwa taarifa hiyo wananchi walitakiwa kutawanyika mara moja kurejea makwao. Ila ilichukua muda wa nusu saa watu kuondoka toka viwanjani hapo kwani wengi wao walisikika wakiilaani serikali ya CCM na wengi wao waliapa kumchagua Lissu kwa kishindo kikuu ifikapo tarehe 28 Oktoba mwaka huu.

Nadiriki kusema kwa umati ulioshuhudiwa viwanjani hapo leo, hakuna wa kumzuia Lissu kuingia Ikulu ya Chamwino.

Credit: kwa rafiki yangu aliyeko Tandahimba, kwa taarifa.
Na hii vipi ya mkata?
 
Wauza korosho lazima tuhakikishe huyo anajiita magufuli harudi tena madarakani iwe kwa kupiga kura ama kwa vurugu tutamgeuza mtu kama mugabe
Hakikisheni hamfanyi makosa, ndugu mlinyime kura hili lifisadi risipate ajira tena, imetosha linayoyafanya tunataka watu wapya.
 
Nilichosema mimi ni kuwa watu wamejaa tu kwa kweli hayo mengine ni wewe wasema ndugu yangu...!
Hakuna mtz wa kawaida ambaye akiambiwa kuna usafiri twende ukamuone, diamond,harmonize bure akakataa.Ukichukulia wengi ni jobless!
 
Back
Top Bottom