Recent content by jochiwa

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno Hulka.

    Asante
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kunitengenezea Application za kwenye simu

    Wanajamvi naomba kujua wap nawezapata watengenezaji wazuri wa application ya kwenye simu. Kma zle zilzopo playstor na gharama yke ni kma bei gan cjui.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno Hulka.

    Nini maana ya neno hulka? Na je unaweza sema mtu ana hulka ya wizi? Au hulka ni kwa vtu vzur vzur tu? Msaada
  4. J

    JamiiForums Tanzania Anapiga sana kelele wakati wa tendo

    Naungana na ww
  5. J

    JamiiForums Tanzania UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    Naombanitumie na m kweye emai......... josephchiwango@@gmail.com
  6. J

    JamiiForums Tanzania UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    Naomba na mm unitumie kwenye email mtalaam tafadhar. josephchiwango@gmail.com
  7. J

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Duh! ushauri mzr sn mtoa mada, napata mawazo mapya yenye mashiko kila ninapo log in JF. Asanten sn.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Wanajamvi, nimevutiwa sana na mada hii, lakini nadhani bado kdogo nahitaji kujua zaid. JZHOLO, Njunwa Wamavoko na wengne weng wenye weled wakina katika manunuzi kwa njia ya mtandao, tafadhar natamanim kujua maana nahitaji kununua na mm. e-mail yng josephchiwango@gmail.com, simu ya kiganjani 0712...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mkuu umefanya kazi nzur sana, vp kuhusu malipo ya ushuru kwa hapa kwetu?, yan mzigo ukifika vp kuhusu TRA?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya maneno

    Hicho ni kivumushi, kwasababu mara nyingi kivumishi huwa mbele ya Nomino au Kiwakilishi..... sasa katika sentensi yako hapo kuna Nomino kapa. Ukisema 'Tangu jana hajafika" sehemu iliyopigiwa mstari ni kivumuishi kirejeshi.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria juu ya uhalali wa kuzumgumza na wafungwa

    Nataka kupata nafasi ya kuingia magereza (yoyote) ili niongee mawili matatu na wafungwa na kupublish mahojiano hayo, je ni hatua zipi za kisheria natakiwa kufuata ili kuwa na uhalali wa kufanya hivyo?...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Guarantee na Warrant!

    Sure guarantee unapewa bidhaa mpya warrant marekebisho ila bila malipo.
Back
Top Bottom