Guarantee na Warrant!

Bidhaa yenye guarantee kama ikiharibika ndani ya muda uliopewa guarantee yake basi utabadilishiwa na kupewa bidhaa nyingine kama hiyo lakini yenye warrant ikiharibika ndani ya huo muda wenye warrant basi itafanyiwa matengenezo bure na huyo aliyekuuzia...ukinunua tv yenye guarantee ya mwaka mmoja ina maana ikiharibika ndani ya hicho kipindi basi utairudisha na utapewa nyingine kama hiyo na muuzaji lakini ikiwa na warrant basi muuzaji atakutengenezea bure.
 
Guarrantee ni haki ya mteja kupewa bidhaa/huduma mpya au kufanyiwa marekebisho ya huduma/bidhaa hiyo.
Warrant ni karatasi inayoonesha kuwa umepewa guarrantee hasa hasa risiti ya manunuzi ndio inakuwa inafaya kazi ya warrant.
Ukipoteza warrant inakuwa ni vigumu kupata guarrantee
 
Huyu yupo sahihi! Ila sometimes muwe hata mnagoogle kidogo! Utapata maelekezo ya kutosha zaidi na ya zaida kuliko kuuliza humu
 
Guarrantee ni haki ya mteja kupewa bidhaa/huduma mpya au kufanyiwa marekebisho ya huduma/bidhaa hiyo.
Warrant ni karatasi inayoonesha kuwa umepewa guarrantee hasa hasa risiti ya manunuzi ndio inakuwa inafaya kazi ya warrant.
Ukipoteza warrant inakuwa ni vigumu kupata guarrantee

Huyu yupo sahihi.
 
Huyu ndo yuko right...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom