Recent content by joao

  1. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Uhamisho wa Walimu nchi nzima

    This is not the correct approach, tafuteni namna ya kubaini uongo, sio kuzuia uhamisho. Ili kuja na njia bora ni lazima uumize kichwa, ila kama hautaki kujitesa kufikiria na hauumii wewe njia rahisi ni kusema tumezuia uhamisho, this is the old way of thinking, please change.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kivita ya Japan yatoweka kwenye rada ikiwa bahari ya Pacific

    Is it common that the plane left without copilot?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Gibbons Mwaikambo

    Ukiandika kitabu utulie zaidi, umeeleweka sana ila hiyo miaka kama umechanganya changanya vile, angakia 1985 na 1989. Thank you for sharing
  4. J

    JamiiForums Tanzania Simbachawene anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kujeruhi

    What a contradiction !
  5. J

    JamiiForums Tanzania Simbachawene anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kujeruhi

    Hii habari haieleweki. Mara anatafutwa, mara amehojiwa, Mara tulienda kuripoti kituoni Buguruni baada ya hapo nikazimia nilipozinduka nikajikuta Niko Mhimbili...Hahaaa kuweni serious jamani kwa kwenye akili inajitafakarisha, hii habari INA ukakasi sana!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

    Naamini watu wa Singida West nao wameisoma hii post, nawaomba waifanyie kazi kwa vitendo.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

    Karma is a bitch
  8. J

    JamiiForums Tanzania Incubators: Changamoto zake, Jinsi ya kupata ufanisi mzuri na mafanikio zaidi kwenye incubator yako

    Unaanisha kuwa unaweza kupark mayai kwa kupishanisha wiki wiki ili uweze kuzalisha on weekly basis? Nijuavyo Mimi siku nne kabla ya kutotoa mayai hayashauriwi kugeuzwa, sasa utafanyaje wakati haya hayahitaji kugeuzwa, haya huku yanahitaji kugeuzwa?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Incubators: Changamoto zake, Jinsi ya kupata ufanisi mzuri na mafanikio zaidi kwenye incubator yako

    Kitotozi kina uwezo wa kubeba mayai 1056, ambayo yanatumia siku21 kutoa vifaranga. Kimahesabu, vifaranga 1056 kwa wiki tatu ni wastan wa vifaranga 352 kwa wiki (i.e 1056/3), si kwamba kweli utapata vifaranga kila wiki
  10. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya kujiunga na kidato cha kwanza 2017 yametoka?

    Umeshayapata? Kama.tayari na wewe weka link
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) waachia majina ya wadaiwa sugu kuanzia mwaka 1994 hadi 2014

    Hiyo HESLB ilikuwepo 1994?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Hiyo bado inaboreshwa, rudisha mobdro mpaka itakapotengemaa
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Naunga mkono hoja
  14. J

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab wakamatwa tena Kilombero, watamba wapo wengi, Mhasibu TANESCO Kidatu ahusika

    Kwa kukosa chanzo cha habari, inapoteza uzito
  15. J

    JamiiForums Tanzania Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    :) Na Chalinze-Ruvu basi watafukia itakapotokea ajali mbaya kabisa
Back
Top Bottom