Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kuna mama jirani yangu ni mnazi wa ccm vibaya sana, mwakani anastaafu ni mwalimu...aliposikia sheria hii mpya mama wa watu amepigwa na baridi anaumwa kila siku. Nilijaribu kuchunguza tatizo ni nini nikaambiwa alikopa sana akitegemea kupewa pesa nyingi kwa mkupuo ili zingine alipe madeni na salio afungue biashara.

Hua namtania mama VP umejiandaaje na sheria mpya, anasema mwanangu we acha tu....mwisho namwambia ni maombi ya chama chetu kwa serikali lazima tuyakubali kwa mikono miwili....anakua kimya.

Ila ccm mtawauwa wanachama wenu kwa pressure jamani....mnadhani mnamkomoa Mbowe na kampani yake kumbe sisi neo tunaumia, ipo siku jua litawaka wakati wa giza tororo
Maniner kila mtu ataisoma namba nawaambieni
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Karma is a bitch
 
Naamini watu wa Singida West nao wameisoma hii post, nawaomba waifanyie kazi kwa vitendo.
 
Hili lijamaa ni...anyway mh mbunge!unaandika kama vile na wewe utapewa 25%..kumbe wewe umeruka kihunzi na utapewa kwa mkupuo!..hebu nikuulize wale wafanyakazi waliopo wilayani kwako wamekutuma kuwa wamefurahi kupewa 25%na uwafikishie mawazo yao bungeni ?..au umejiamulia kubwabwaja tu kuutafuta uwaziri au unataka nn hasa?
 
Kingu nimesoma na wewe japo nilikuwa mbele yako. Nilikuwa nakuamini lakini sikuwahi kuwaza kuwa wewe ni mjinga kiasi hicho. Inakuwaje uwapangie watu matumizi ya pesa zao au upange bajeti zako za Viwanda kwa maumivu ya wenye pesa na kinyume na matakwa yao
Na kwanini na wewe unasoma na majitu ya hovyo hivi
 
Hili tatizo limeanza zamani sana sio leo..mnakumbuka pesa za rambirambi kagera zilienda wapi?..ikafuatia wale watt wa Arusha,then wahanga wa kivuko ukerewe..zote zilipelekwa kwenye matumizi mengine!..Hili la 25%la mafao ni muendelezo tu wa kuchukua kwa nguvu pesa za wanyonge na kuipangia matumizi mengine!Likipita hili iko siku tutaambiwa kila mwezi tukatwe bila hiari mishahara yetu ili ikajenge vi wonder!..joka linazidi kukomaa!
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
na wabunge pia wanatakiwa kupewa 25% ya kiinua mgongo, ziada wachukue 75%, kwa miaka 12.5 kama mshahara kila mwezi
 
Idiocy at it's worst! Wabunge wa ccm wawe wa kwanza kuchangia hiyo mifuko angalau 50% ya mafao yao tuone uzalendo wao. Sio kuwafanya wafanyakazi wengine tu ndio "wachangie".
sijui magufuli amekua ndio Mungu huko ccm...... mbona kama wanamwogopa sana hawa jamaa?

uzalendo gani wkt mwenyewe sio mzalendo?
 
ccm ndiyo wamepata mtaji kwa kuwanyonga wanyonge!!!!Kama serikali hii inavyojinadi kuwa ya wanyonge inatakiwa wanyonge msilalamike furahini mkiitwa wanyonge ili Mnyongwe vizuri.
ni kweli ni serikali ya wanyonge,...........

unadhani kwann kuna juhudi kubwa za kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?.......

ccm bila wanyonge haiwezi kutawala, ndio maana miji yote imekataliwa imebaki vijijin,
 
Huyu buibui ndie alisema kutekwa au kupigwa risasi Lissu sui jambo la ajabu ni mambo ya kawaida.

Kujadili analosema ni sawa na kula chakula na mbwa
 
Kwani lengo la kuanzishwa mifuko ya jamii ni kukuza viwanda? Kama lengo ni viwanda iweje ccm wakope billion 337 mwaka 2015 na hawajazirudisha! Hamuoni ninyi ndio chanzo cha ninyi kufilisi hii mifuko?
 
Alikopeshwa na mil.6 wakati anaenda china ripoti ya CAG mzee ni hatari sana
Jamaa ni Lijizi Sana cha kushangaza fedha zote linahonga,limewekeza kwa mchepuko kamnunulia hadi Range Rover,Mchepuko wake full bata halafu linataka wazeee wapewe 25% tu wakistaafu wakati lenyewe ndio fisadi na jizi kweli kweli hadi ccm kupitia uhuru wakalikataaa!
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Huyu malay* naye loh...kwa hiyo kujenga viwanda ndo kuwataabishe wafanyakazi!
 
Back
Top Bottom