Simbachawene anatafutwa na polisi kwa tuhuma za kujeruhi

WanaBodi, Juzi 24/12/2018 Mhe. Simbachawene Akiwa Amelewa chakari maeneo ya vingunguti karibu na bar yake maarufu ya “TITANIC BAR”, Alipaki gari yake Barabarani Hivyo alisababisha msongamano wa magari, kuna kijana anaitwa kassimu ana gereji yake jirani na bar hio, alimfuata Mhe. Simbachawene na kumuomba aondoe gari lake aina ya Prado new Model kwa kiburi ya Hali ya juu Mheshimiwa aligoma na kushuka kwenye gari lake na akaanza kumshambulia kijana huyo kwa kumpiga huku akienda kuwaomba walinzi wa Bar yake(wamasai) waendele kumpiga kijana huyo.

Wale wamasai walimpiga kassimu kwa maelekezo ya boss wao Mhe. Simbachawene kiasi kwamba kassimu alijeruhiwa vibaya na kulazwa Hospitali ya Muhimbili.

Kesi imefunguliwa kwa RB no BUG/RB/11587/2018
What a contradiction !
 
Itakuwa alimfumania tuu
IMG-20210807-WA0001.jpg
 
Hajakamatwa Kama Jobo Alivyomtwanga Rungu
Mwenzake 😅😄😃🤣😂😂😁😀😀🤣😃
Nchi Ngumu Sana Waharifu Ndiyo Viongozi Wetu🙄😶😑😐
 
Huyu ni mtu mkubwa sana hawezi kutafutwa kwa kikaratasi kilichoandikwa kwa mkono, tena hakina hadhi kiasi hiki....mnakiita RB.

Huyu kijana atakuwa kibaka tu. Simbachawene ampige mlalahoi kiasi hiki kwa lipi?
Huna akili, na yule jamaa yenu aliyempiga risasi dereva wa daladala aliwezaje kumuua mlala hoi?
 
Back
Top Bottom