Serikali yasitisha Uhamisho wa Walimu nchi nzima

Serikali yasitisha Uhamisho wa Walimu nchi nzima

Nafikir ni umasiki wa kutupwa ndio unaowasumbua, siku 1 nilipanga folen bank na walimu walikuwa wamelipwa madeni yao lkn hiyo furaha waliyokuwa nayo na matani wanayotaniana hadi nikasema hawa watumishi pengine wamelipwa mamilioni kuja kuangalia cheki zao ni kat ya laki 2 au 3, kimoyomoyo nikasema tz tunasafar ndefu sana ili tujikomboe, kwa siku hiyo sidhan kama ungeongelea ubaya wa serikali hao walimu wangekuelewa.
Mkuu unataka wanune Kila siku si watakufa mapema
 
kuna mawazr mapumbav sana,m2 unampaje uhamisho bila kuonesha evidence ya certificate ov marriage? huyu waitara kwa mwehu kias hch? ye2 c alikuwa mwl? huyu no 1 nae n zero brain! ndio maana wanafanya mambo kwa kukurupuka,haf mnasingizia mara oh 2nafanya mambo makubwa kwanza,hakuna kupandisha madaraja wala mishaha sasa mmedandia kuzuia uhamisho wa watumish has walimu,hv kwel ninyi sio malofa?
 
Serikali imezuia uhamisho wa walimu nchi nzima ikieleza kuwa sababu za kuomba hivyo nyingi ni za uongo.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Mwita Waitara amesema hayo bungeni leo Alhamisi Aprili 25, akieleza kuwa kuanzia sasa uhamisho utatolewa kwa kibali maalumu na masharti muhimu kutoka serikalini.

Alikuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mrimba (Chadema), Suzan Kiwanga ambaye amehoji kuhusu upungufu wa walimu hasa wa kike katika wilaya ya Kilombero.

"Suala la kuhamisha walimu kwa uhamisho wa ndani liko chini ya mkurugenzi na hapa ninaagiza kufanyika marekebisho hayo mara moja tena ndani ya miezi miwili au wiki mbili ili kupata walimu kwa jinsia zote," amesema.

Waitara amesema Serikali imefikia hatua ya kuzuia uhamisho kutokana walimu wengi kusingizia kuwa wanawafuata wenza wao na kugundulika kuwa sbabu nyingi ni za uongo.

Katika swali la msingi, Mbunge Viti Maalum (CCM), Ferister Bura alitaka kujua ni lini Serikali itaajiri walimu 527 wa masomo ya sayansi katika mkoa wa Dodoma.

Akijibu, Waitara alisema ni kweli Dodoma ina upungufu wa walimu lakini Serikali imeshatoa kibali cha kuajiri walimu 4,549 wakiwamo walimu wa sayansi na hisabati.

This is not the correct approach, tafuteni namna ya kubaini uongo, sio kuzuia uhamisho. Ili kuja na njia bora ni lazima uumize kichwa, ila kama hautaki kujitesa kufikiria na hauumii wewe njia rahisi ni kusema tumezuia uhamisho, this is the old way of thinking, please change.
 
Nafikir ni umasiki wa kutupwa ndio unaowasumbua, siku 1 nilipanga folen bank na walimu walikuwa wamelipwa madeni yao lkn hiyo furaha waliyokuwa nayo na matani wanayotaniana hadi nikasema hawa watumishi pengine wamelipwa mamilioni kuja kuangalia cheki zao ni kat ya laki 2 au 3, kimoyomoyo nikasema tz tunasafar ndefu sana ili tujikomboe, kwa siku hiyo sidhan kama ungeongelea ubaya wa serikali hao walimu wangekuelewa.
Umaskini tuosema wa nchi ya tanzania unaweza kuona vzr kwa kuangalia kada mbili kubwa, wakulima na walimu wa shule zetu za kayumba.
 
walioanzisha uhamisho sio wajinga,hili tamko expire date yake ni ndogo sana mtaachia wenyewe sio muda
 
Haya manunuzi ya CCM yameanza kuleta matokeo
Standing oder na matamko na haki za watumishi havieleweki?
 
Wakweli sasa wameponzwa na waongo...
Cc: mahondaw
Ni haki ya mtumishi kuama ukishakaa kituo cha kazi miaka mitatu..Sababu ya kuama kwangu is non of their fuckn business .
Usitake kujishushia thamani kwa kuamini kauli ya kipumbavu ka hiyo..
 
Ni haki ya mtumishi kuama ukishakaa kituo cha kazi miaka mitatu..Sababu ya kuama kwangu is non of their fuckn business .
Usitake kujishushia thamani kwa kuamini kauli ya kipumbavu ka hiyo..

Mbona ipo wazi kwamba serikali inajitahidi kuja na sababu kibao kwenye mambo mengi sabubu kuu ni kutotaka kutumia pesa... chini ya kapet ni kwamba hizo pesa hakuna...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom