Recent content by Joackim matts

  1. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Tupige vita viongozi wa dini kuwa maajenti wa wanasiasa

    Rais ni kiongozi wa watu wote, waumini ni sehemu ya wananchi sasa kama rais anawatedea uonevu wananchi/waumini, lazima viongozi wa dini wamkemee rais.
  2. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenisaliti na mzazi mwenzake! Nina wasiwasi ataendelea kunisaliti naye

    Kajifunze jinsi ya kuishi na stress chukua hata diploma tu inatosha basi alafu endelea kuishi nae
  3. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Uongo gani wa mwanasiasa uliovunja rekodi kwa mwaka 2017?

    Waliojenga jirani na uwanja wa ndege hawatavunjiwa nyumba zao
  4. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

    Vumilia tu kwa kipindi hiki ambacho huna pesa. Ww tafuta pesa tu ukishazipata watakutafuta wenyewe mkuu
  5. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Roho ya uharibifu inavyoliharibu Taifa

    Wanajeshi wetu watusaidie kuiondoa roho ya uharibifu wasiangalie mipaka pekee nchi inaanguka hii
  6. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Tayaariiiii
  7. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Endelea
  8. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto

    Kuwa mfuasi wa chama chochote ni haki ya mtu so yeyote anaweza kuitumia popote wakati wowote
  9. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mambosasa alinishangaza sana alipomkejali kwa kujiamini eti Dr kavaa malapa hivyo hana uwezo wowote katumwa na Lugumi. Sasa nikajiuliza kwani Lugumi akitaka kumtuma mtu anashindwa kumtengenezea mwonekano usiotia Shaka?!
  10. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Nani anajua sababu za umaarufu wa babu wa Loliondo!? Usanii mtupu
  11. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Mama wa mtoto wangu anataka nimsomeshe

    Kama upo tayari kumsaidia, kamsomeshe tu ila mpaka hapo mke huna mkuu
  12. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa ni mjamaa, gumzo kuhusu anavyoishi Canada linathibitisha ujamaa wake

    Namkubali sana Dr. Slaa aisee natamani kuwa na msimamo kama yy ana uwezo mzuri sana wa kusimamia anachokiamini bila kujali kelele za watu!
  13. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mnyika umesusa Jimbo na Siasa?

    Mimi pia najiuliza sana kilichompata huyu jamaa Wetumpka! Kama hakubaliani na wakubwa wake amfuate Dr. Slaa tu kwa amani tutamuelewa kuliko kubaki vuguvugu hivi.
  14. Joackim matts

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

    Huyu dada ana matatizo sana kila anaezaa nae anamkimbia! Ajitazame sana
Back
Top Bottom