Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

Vumilia tu kwa kipindi hiki ambacho huna pesa. Ww tafuta pesa tu ukishazipata watakutafuta wenyewe mkuu
 
kumbe unawinda nilifikili unatafuta haya endelea kuwinda
 
Utakua bahili aisee ndo maana wanakukwepa kwa kigezo cha kuwa wana bebez zao!badilisha mbinu ya kupiga sound hahah
 
Wakuu,

Baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale Mlimani City, so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale Mlimani City kuzuga huku nikiwa nawinda totoz.

Lakini sijui ndio tuseme nina gundu au vipi, hii ni wiki ya pili tangu nimeanza kuwinda na sijabahatika kupata manzi wa kueleweka maana kila ninayebahatika kuongea nae ananiambia tayari ana mtu.

So labda mnisaidie mbinu zaidi wakuu au pia mnipe majina ya viwanja vingine wanapopatikana hawa swala kwa wingi.

Tatizo unauliza kama ana mtu au hana!! hilo ni moja ya swali linalokufanya uwakose
 
Nenda kaangalie cinema kwa wiki mara mbili, ukimuona manzi usiwe na time nae wewe kuwa busy tu na cinema, alafu jiweke kama mjamaa mwenye mawazo kwa kutendwa (itakusaidia siku za usoni)

Ukifanya hivyo utapata mtot mzuri na aliye single kweli ndani ya muda wa mwezi ila chonde chonde USITONGOZE! watakuja tu sababu wanakuona watajileta wenyewe tu.
Kwahiyo unamshauri akaangalie cinema vibanda umiza?,au umemaanisha tofauti mkuu?....
 
Sasa mkuu wewe ukiona manzi tu unamfata unamtongoza hapo hapo?

Ngoja nije hapo kesho nikuone unavyotongoza
 
Wakuu,

Baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale Mlimani City, so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale Mlimani City kuzuga huku nikiwa nawinda totoz.

Lakini sijui ndio tuseme nina gundu au vipi, hii ni wiki ya pili tangu nimeanza kuwinda na sijabahatika kupata manzi wa kueleweka maana kila ninayebahatika kuongea nae ananiambia tayari ana mtu.

So labda mnisaidie mbinu zaidi wakuu au pia mnipe majina ya viwanja vingine wanapopatikana hawa swala kwa wingi.
Nenda pale Corner bar Africa sana,utachoka na roho yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom