Roho ya uharibifu inavyoliharibu Taifa

Roho ya uharibifu inavyoliharibu Taifa

Roho ya uharibifu itutoke. Tayari Uzi umeanza kuharibiwa
 
Acha tu Mkuu ...hasira za wananchi huku Kitaa zinaongezeka..

Ukipita seheme umevaa yale Ma T - shirt yao ya njano na kijani utajuta.
 
Acha tu

tapatalk_1512326682295.jpeg
 
Majengo ya jpm yanabomoka.......... Hii roho inazidi kuonelana live.
Nashauri hiyo fly over ipate usimsmizi mzuri
 
Majengo ya jpm yanabomoka.......... Hii roho inazidi kuonelana live.
Nashauri hiyo fly over ipate usimsmizi mzuri
Huyo ambaye majengo yake yanabomoka ndio huyo huyo ambaye anataka kubomoa jengo la Tanesco. Roho ya uharibifu inamla, nchi inalipa fidia kutokana Na maamuzi yake ya sijui za nyuma. Ndege iliyokamatwa Canada ni matokeo ya maamuzi yake ya kiharibifu
 
Mimi huwa najiuliza, japo sio kitu kizuri sana, siku akifa Makonda atazikwa kama Paulo Makonda au Daudi Bashite?
Kabisa na Askofu ataendesha ibada ya kuficha ukweli?
Ndugu zake watamlilia Paulo ama Daudi?
Msalaba wake kaburini utaandikwa nini?

Maswali magumu haya......kama ngumi ya Lugumi!
Dah! Mkuu wewe umefikiria mbali sana kuliko wengine. Nadhani hii siku haiko mbali tutashudia vihoja
 
Vyeti feki roho ya uharibifu madini roho ya uharibifu bomoabomoa roho ya uharibifu traffic faini roho ya uharibifu meri ya magogoni - bagamoyo roho ya uharibifu kuzuia nyumba mwanza roho ya uharibifu kuzuia gharama ya matibabu ya lisu roho ya uharibifu
Hostel za magufulo za Udsm zimepatwa na hii roho zina ifa mkubwa. Zinaweza kuanguka saa yoyote.
 
Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha.
Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako, familia yako, kipato chako etc.
Roho ya uharibifu ndio inayoharibu uchumi wetu, ndio inayoharibu kipato chetu, inaharibu mfumo wetu wa elimu.
Kabla hatujaanza kumuombea rais ni lazima tuiombee roho ya uharibifu itutoke ili tuweze kuendelea.
Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, siasa safi, uongozi Bora Na ardhi.
Siasa yetu imeingiliwa Na roho ya uharibifu, watu wananunulika, wanasahau kuwa ni sisi tuliowachagua.
LEO wanaacha madaraka tuliyowakabidhi, tunaenda kwenye uchaguzi mwingine utao haribu pesa za nchi.
Ardhi yetu imeingiwa Na roho ya uharibifu. Sera zetu za ardhi ni kichefuchefu.
Uongozi Bora nao haupo, ni uharibifu Kila mahali
The usisahau kuwa mwenge ni laana Na ndio chanzo cha uharibifu.
Isaya 50:11

Umesahau pia roho ya uharibifu na fitina ya chadema &Co. ambao ni kama wanasubiri nchi ishindwe wafurahie, wanaombea mradi wa mwendokasi ufe na usimame wacheke, wanaombea Wanafunzi wakose mikopo wafurahie, wanaombea Ubungo interchange ishindwe wachekelee, wanaombea Shirika letu la ATCL lishindwe kunyanyuka wafurahie, wanaombea ndege zetu zikamatwe na Muzungu (Tundu Lisu) ili tusiweze kujinasua hapa, wanaombea SGR yetu ishindwe na wanakwenda hata mbali na kuwaambia Muzungu aiwekee Tanzania vikwazo vya Kiuchumi, tena akina Tundu Lisu wanaandika barua kabisa!

I hate Tundu Lisu, ni is the devil!
 
Mradi wa mabasi ya mwendokasi ni mradi wa MTU binafsi. Ndege iliyokamatwa Canada ni matokeo ya maamuzi ya kukurupuka. Kwani CHADEMA ndio waliomtimua mkandarasi Bila kufuata utaratibu?
 
Mradi wa mabasi ya mwendokasi ni mradi wa MTU binafsi. Ndege iliyokamatwa Canada ni matokeo ya maamuzi ya kukurupuka. Kwani CHADEMA ndio waliomtimua mkandarasi Bila kufuata utaratibu?

Kwa nini wanachekelea kama kweli tuko pamoja nao? Isistoshe Mradi wa mwendo kasi umejengwa kwa mkopo ambao sisi Watanzania tutaulipia, hivyo kuchekelea kushindwa kwake ni Usaliti, na ndiyo maana Mungu anawalaani mnajisaidia kitandani kwa kushindwa hata kutembea shauri ya roho ya husda!
 
Back
Top Bottom